Kagame naye nasikia alikiwa nyuma ya UKAWA, alipoona ngoma nzito akasalimu amri.
Kumbe unasikia sikia? Siku ukisikia kuwa mimi ni baba yako utaamini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagame naye nasikia alikiwa nyuma ya UKAWA, alipoona ngoma nzito akasalimu amri.
Kwa maslahi ya watanzania lakini, hawa Ukawa na Wajerumani ni kwa maslahi ya nani?
umbea wa vibaraka wa mi - ccm.Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza
- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.
- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.
Source: Jambo Leo
Sasa hapa ndo imeandika nini? Ishu za mademu km hao kina Kotta hiyo ndio fani ya Pasco. Inapokuja kwenye totoz Pasco anakuwa sio kichaa. Akija siasani tumbo linatangulia akili zinafuata.Unajua Pasco unaweza kumuona kama zuzu lakini ana upeo mkubwa sana.Kuna comment yake moja kwenye uzi ulioanzishwa na Mawazo kuhusu Faraja Kotta alisema watawala watafanya kila njia haswa kwa mali zao za wizi kufanya ukombozi usifanyike japo wapo wachache.
Mimi nilishaliona hili, Haiwezekani Mzee Slaa atokwe povu vile bila malipo!
Ukawa ni maharamia. Wanataka kutuvurugia nchi
Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza
- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.
- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.
Source: Jambo Leo
Riz anauza pouda!!!Habari za vijiweni usilete hapa...!
Wakishazipokea wanazifanyia nini?