Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Kwa kawaida uke una harufu nzuri ya kuvutia, usipokuwa na harufu hata hauvutii kuutafuna, ila huwa kuna harufu kama ya shombo ya samaki, ukiona hivyo ndo itakuwa tatizo. Nakupa dawa hautojuta. Chukua epicider vineger, inauzwa supermarket kubwakubwa, nunua ile chupa kubwa basi utakua unaoshea kwenye papuchi kila siku mara mbili, yaan asubuhi na jioni. Fanya hivi mpaka uone harufu haipo tena. Ama fanya hivi siku zote. Usitumie sabuni yyt kuosha uke wako, maji tu na dodoki spesheli la uke yanatosha.
 
Mhhh Chaka hili, unaanzaje kumwambia Demiss, utapigwa sonyooo na papuchi hupati Tena.
 
Mhhh Chaka hili, unaanzaje kumwambia Demiss, utapigwa sonyooo na papuchi hupati Tena.
Khaaaa mkuu hunipendi walllah mxeeeeew la kwako hilo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mhhh Chaka hili, unaanzaje kumwambia Demiss, utapigwa sonyooo na papuchi hupati Tena.
Khaaaa mkuu hunipendi walllah mxeeeeew la kwako hilo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nakuona Dr demiss
 
Aaah wap ww usitudanganyeee
Kwan zakaaa humo hazitoki?
Usafi ndio cha muhimu Hamna kingine unless Ana magonjwa
 
em toa ufafanuzi kidogo hiyo harufu ya shombo ka, samaki huwa inasababishwa na nini? ama ni ugonjwa gani unapelekea kusmell hivo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…