Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Concern na hiyo research tuachanenayo ila tukigusia sababu inayopelekea haya Moja wapo ni kinga zetu za mwili ziko chini sana kwa sababu ya ulaji mbovu hasa ulaji wa fast foods, mf mwanamke (kutokana na mada) anayekula hivi na akawa pia usafi ni duni ni rahisi kupata Hali hii tunayo izungumzia.
HITIMISHO: Ni vyema wanawake (even men) wakawa wanakula chakula Bora na wakazingatia usafi ili kuwa mbali na haya magonjwa pia ngono zembe ni tatizo tujiepushe.
 
Back
Top Bottom