Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Mm kuna kipindi nikajihisi labda nguvu za kiume ndio zinakimbia, maaana nilipata kma mademu wa nne hivi lakini ukipiga hamu inaisha haphapo sasa nikatafuta mrembo km wa 18 years, da! Nilipiga show ya kufa mtu ndipo nilipokuja kugundua kuwa wanaume tujitafakali upya, maaana tunasema hatuna nguvu kumbe MBUNYE zenyewe hazitushawishi kuendelea kupiga game
 
Jamani kitu ambacho sipendi huwa ni miharufu wakati wa kuduu.Nimejaribu kuchunguza nimekosa majibu.Wadau nisaidieni huwa tatizo ni nini?
mimi nikikwichikwichi kwenye ambayo haina kauvundo sipati mzuka isee,raha ya ile kitu iwe na kaharufu ka uvundo weeeeeee asikwambie mtu,yani napata mamizuka ya ajabu isee
 
mimi nikikwichikwichi kwenye ambayo haina kauvundo sipati mzuka isee,raha ya ile kitu iwe na kaharufu ka uvundo weeeeeee asikwambie mtu,yani napata mamizuka ya ajabu isee
Duh..
 
Kuna mademu wananuka k aisee usiombe ni hatari sijui ni ugonjwa Kuna mmoja nilikutana nae da hadi aibu nilimwambia ukweli kwamba ananuka akanielewa
 
Mh nawewe una mambo!
 
Nimependa uzoefu wako
 
Jamani kitu ambacho sipendi huwa ni miharufu wakati wa kuduu.Nimejaribu kuchunguza nimekosa majibu.Wadau nisaidieni huwa tatizo ni nini?
Kanunue mananasi, kamua juice unywe na mengine tafuna kwa wiki au mwezi utaona matokea.

Source: JF.
 
Point nzito sana hii, nimekuelewa sana.
 
Inatakiwa Mara chache afanye douching ila ikizidi sana itamletea madhara ya kiafya baadaye
 
Hyooo demuu wako au mkeo ndyo ananukaa jarbuu kumfundishaaa usafiii halafuu usijumuisheee woote
 
Jamani kitu ambacho sipendi huwa ni miharufu wakati wa kuduu.Nimejaribu kuchunguza nimekosa majibu.Wadau nisaidieni huwa tatizo ni nini?
Sema harufu mbaya, kuna ka harufu fulani hivi ka hilo eneo kaharufu kazuri nikikahisi au kukanusa kwa bint dah huyo halali yangu. Tabu ya harufu ni ngumu kuielezea ila kwa kifupi hii ninayoiongelea ni kuwa k hainuki ila inanukia.
[emoji527]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…