Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Ugonjwa unaitwa Trichomoniasis( TV), aende hospitali.
dada huko kuna ulinzi wake kwa asilia usisikilize mafunzo ya unyagoni eti kuingiza kidole huko...ongea na wataalamu watakwambia madhara mengi mnayaata wanawake siku hizi ni kutokana na doutche hiyo.kama unataka kuna vifaa maaaalum vya kusafishia huko but sio kidole.
.......................unakuta mnaanza oral sex mkimaliza mkianza kuchojoana ndo tatizo linapoanza....
Good teacher...hongera sana, karibu krismas nyumbani kwangu...!!pole, kaka huyo dada ni mchafu au akupata mafunzo namna ya kujisafisha kwa kawaida mwanamke anatoa majimaji meupe kwenye uke wake hivyo inatakiwa kila wakati wa kuoga aingize kidole chake cha kati na kupakua kwani huwa ni mzito kama maziwa mgando unapojisafisha vizuri kunakuwa kukavu kabisaa, msaidie kwa kumuelekeza kwani ukikaa kimya kuna maradhi utayapata nawe pia, na imani huyo dada huwa anaenda kumuona dkt kila mara kwa kuwashwa ukeni akipata dawa inaacha mara moja, ila kwa kweli dawa ni kujisafisha kila anapoingia kuoga au hata anapojisaidia haja ndogo. na wakati anapokuwa katika siku zake ajaribu pia kusafisha kwa kuingiza kidole chake ataona mgando wa damu ukitoka. chupi zinaharibika badala ya kuwa nyeupe zinakuwa cream.
Du! unamwandikia dawa bila hata ya kumpima! Na hizo dawa mbona haziendani na ugonjwa husika?Aende maabara hata hapo uswazi akapime mkojo,aulize majibu kama ni TV BASI ATUMIE
1:Flagyl 2 x 3 siku 5
2:Fluconazol 150mg x 1
3😀oxycycline 100mg(1 x 2) siku 5
N:B Ni vyema wakatumia wote wawili kuepuka Re-infection ikiwa wata du bila kinga TEHE TEHE.......
Wewe Joy hakuna cha vifaa maalum zaidi ya kidole, hivyo vifaa unatembea navyo barabarni? hawa wazungu wanatudanganya na doutche doutche ndio maana baadhi ya dada zetu hawaishi kutoa uvundo- kwani kinachozungumziwa ni uvundo na sio harufu ya kwaida ya 'K' ambayo kwa kweli ni romantic ukijaliwa kukutana nayo. Bro uliyeleta mada mwambie demu wako afuate ushauri wa Rose hayo matatizo yataisha.
nani alikuambia uchafu huwa unajikusanya ndani ya uke???uchafu unatoka wenyewe...na hata ukiingiza kidole ukautoa..haimaanishi UTAISHA..sababu wenyewe unatoka kwa kiasi continuosly...-na kwamaumbile yetu unatoka wenyewe, sio kwamba ukisafisha asubuhi basi jioni hautaukuta ...utaukuta sana kwenye chupi- so sioni mantiki ya kuingiza vidole wewe bro uliyeleta mada mpeleke mkeo hospitali-uchafu tunaoutoa hauniki,ukinuka ni sign ya serious INFECTION!!!....period.
Yakheee..!!! Yaliwa hiyoooo!!
Kuna dada anauza dawa za Kichina zinatoa Harufu... ni~PM nikupe No.yake.