Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Mueleze tu ukweli kiustaharabu lakin ikiwezekana mtolee kabisa mifano kuwa hali hiyo huwa inawapata wengi na wanapona ila asipotibu atapata infection ya kizazi kitatolewa ..asipoelewa halo thatha mmh
 
Mwambie kiupole japo itakiwa ngumu kwake na kama akionesha kutokukuelewa nafikiria ni muda muafaka wa kumuacha kwani ndoa itakuwa kero hamtaishi miaka mingi nyie mark my words
 
Huu uzi wa pili leo kuhusu hii shida sisi wa siku hizo tulikuwa tunatibu kwa kutumia bangi kavu unaifunga kwenye majani ya mgomba unamwekea huko usiku asubuhi akitoa hutoka na milenda ya ajabu ndio mwisho wa harufu hiyo hata ile ya wazungu inaisha hivyo sasa new generation muone doctor zetu zimepitwa na wakati
 
Pole sana kwa mazoez yan ny....g zote zimeisha nitakuja next week tupelekane kitonga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa ndio mambo gani hayo.
Aaaaaggghhhrrrrr, fanya wikiend hii bana tufunge zetu mwaka kwa vilele vya kitonga hadi kibo na mawenzi.

Mwaka mpya utakuwa na mambo mapya, tusije kuyachanganya na viporo vilivyotiwa girisi
 
Sasa mwenzangu! ukiikanda hiyo nyuchi sindio utakua unaifukutisha - itatoa mpinyenyee kama gari moshi [emoji23]
 
Ukweli utakuweka huru,hata kama atanuna lakini umemsaidia,sasa kama yeye anajifanya bandidu shauri yake na harufu yake,..ikiwezekana mbebe mabegani kwa nguvu tuu umpeleke hospital[emoji23][emoji23],..lakini ww umuonavyo mkuu,ni ugonjwaa au ni hana muda wa kutosha kujiswafi!??maana kuna wengine wana haraka kuliko upesi likija suala la kujisafisha maeneo.
 
Reactions: BAK
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alafu yenyewe huwa sijui haijistukii, yani unakuta harufu chumba kizima lkn hana habar

shenz kabisa
 
Najua kinachomsumbua na dawa but since you guys are not married, I won't bother.. Sitaki kuchangia zinaa..
 
Kuna mbinu unatakiwa utumie ili huyo mpenzi wako apone tafuta doctor unaemjua then nenda nae kamueleze tatizo then yeye nfio atakupa solution ila fanya kama unamwambia leo tunaenda hispital kucheck afya pamoja nae.
 
Kuna mbinu unatakiwa utumie ili huyo mpenzi wako apone tafuta doctor unaemjua then nenda nae kamueleze tatizo then yeye nfio atakupa solution ila fanya kama unamwambia leo tunaenda hispital kucheck afya pamoja nae.
mkuu hakuna cha daktar, huyo ni mchafu, hajisafishi.
Yeye akipalaza mbele na maji huyo anaondoka.

Miwanawake ya kijijini hiyo, na ya uswaz
 
Hivi nikikutana na papuchi yenye harufu mbaya nitajali hata?

..would I care da smell ??

Kwanza nitakuwa na muda wa kunusa harufu?

Najiuliza tu.

Mkuu ni kweli hautakuwa na muda wa kunusa lakini utakapochovya tu ndo utajiuliza kama upo chooni ama umedondokea chooni [emoji2][emoji2][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ahahhaha nilifikiri harufu ukweni...kumbe ukeni...toba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…