Uke kuwa mkavu kwenye tendo


1: Demu labda hana hisia kabisa na wewe, labda ww mchafu au humvutii kwa namna anavyojua yeye, saikolojia yake haipo kabisa kwako, huenda unamuudhi kwa vitabia vyako au kuna mambo hapendi kwako mfano humjali kwa kadiri uwezavyo, unaongea maneno milioni unatoa elfu 10

2: Demu labda ana ugonjwa

Solution:

1: Chunguza unamkera nini au hapendi nn kwako maana kama uke mkavu unazidi muumiza sana na atazidi kukuchukia sana na kuachana sbb unamchubua acha kuwa tumbili katika mapenzi

2: Mpeleke hosp acha ujinga, JF sio hospitali
 
Huyu hata kumwaga kwa ndani simwagagi ataanzaje kutumia pills? Au hana hisia na mimi?
Mzee nendeni kwa wataalam.... Hilo ni tatizo la kawaida kwa wanawake

Mimi wangu yake ilisababishwa na hayo masuala ya uzazi wa mpango ila wako inawezekana kuna visababishi vingine kama stress, matatizo kwenye mfumo wake wa uzazi, smoking, humuandai vya kutosha, allergies n.k

Pia hiyo kutokuwa na hisia na ww inaweza changia
 
Angekua hanipendi asingekua anaonyesha wivu kila mda, nilimuuliza tatizo nini akasema yeye mwenyewe hajui kwanini pakavu, kuhusu hospitali sijafikiria kwenda kwakua ni demu tu sio mke hata hospitali aibu tu
 
Naachana nae tu, Kumbuka wako ni mke na huyu wangu ni demu tu, yaweza kua hanipendi
 
Fanya kama pdidy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…