Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Habari!
Kuna demu wangu tangu nianze nae uhusiano uke wake ni mkavu sana kwenye tendo, licha ya romance na mautundu yote ila bado ni pakavu tu hali inayosababisha angalia sana na machozi na kutetemeka wakati wa show, mpaka mood inakata kwangu. Je sababu ni nini? Maana mademu zangu wote niliokua nao nimezoea panaloa wakati tu wa romance ikifika time ya show tayari utelezi upo.
1: Demu labda hana hisia kabisa na wewe, labda ww mchafu au humvutii kwa namna anavyojua yeye, saikolojia yake haipo kabisa kwako, huenda unamuudhi kwa vitabia vyako au kuna mambo hapendi kwako mfano humjali kwa kadiri uwezavyo, unaongea maneno milioni unatoa elfu 10
2: Demu labda ana ugonjwa
Solution:
1: Chunguza unamkera nini au hapendi nn kwako maana kama uke mkavu unazidi muumiza sana na atazidi kukuchukia sana na kuachana sbb unamchubua acha kuwa tumbili katika mapenzi
2: Mpeleke hosp acha ujinga, JF sio hospitali