Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Wanawake wa Arusha ukiachana na uzuri ila wanajua sana kuvaaa.Arusha ni issue nyingine kwenye kipengele cha pisi kali.
Huwa wananiacha hoi, unakuta manzi imetupia jinsi yake, blauzi kisha koti la barid refu mpaka magotin vifungo wazi na chini kapachika travota..
Ahh wale watu huwa wananipotezea sana muda nikiendaga Arusha huwa napoteza sana muda pale maeneo ya posta asubuh wanashuka magar kuingia kwenye majukum yao.
Arusha hatar kabisaa.
Itikadi zao tu za usela na ugum ndio zinaniachaga sina hamu