Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Wanawake wa Arusha ukiachana na uzuri ila wanajua sana kuvaaa.Arusha ni issue nyingine kwenye kipengele cha pisi kali.
Hillbrow ni Hillbrow na itabaki kuwa Hillbrow, laana zote ,za Johannesburg zinahappen hapo.Hillbrow nimekaa pale mika 23 iliyopita, ni sehu ambayo uhalifu ulikuwa juu sana miaka hiyo sijui saa hii
Bas tu ndio tumewazoeaUso mirinda miguu pepsi sababu ya mikorogo
Ni tourist destination hawawezi kuwa washambawashamba.Wanawake wa Arusha ukiachana na uzuri ila wanajua sana kuvaaa.
Huwa wananiacha hoi, unakuta manzi imetupia jinsi yake, blauzi kisha koti la barid refu mpaka magotin vifungonwaI na china kapachika travota..
Ahh wale watu huwa wananipotezea sana muda nikiendaga Arusha huwa napoteza sana muda pale maeneo ya posta asubuh wanashuka magar kuingia kwenye majukum yao.
Arusha hatar kabisaa.
Itikadi zao tu za usela na ugum ndio zinaniachaga sina hamu
Tafuta hela ukiugua hela ndo inakusaidia na sio kukesha kiunoni.Ndo maana mnaongoz kulialia humu jukwaan kwa kugongewa madem zenu due hampati muda wa kupumzika na kula vyakula laini laini..mwsho wa siku kimoja Chali.....sie wa mikoani ni show show
Tatizo umekaa sehemu moja kama mkundu, tafuta hela utembee1. Asilimia 85 ya wakazi wa Dar hawajawahi kufika hayo maeneo pichani. Au kama wamefika ni ile kupita njia.
2. Ukiona sehemu yoyote ambapo wakazi wake wengi wanalazimika kufanya kazi usiku kucha, ujue hiyo ni sehemu yenye maisha magumu sana! Binadamu ameumbwa kufanya kazi mchana na kupumzika usiku.
Arusha yenyewe ikifika saa 2 tu watu wamelalaMkoa wenye hadhi ya jiji hauwezi kuwa na raia ambao saa 3 kwao ni usiku mkubwa wamelala hawajitambui
Ni kweli kabisa wanawake wazuri hukimbilia dar. Ila ambacho unasahau ni kwamba kabla hawajakimbilia dar wanakua wapo huku mikoani! Ukiona mwanamke kakimbilia dar ujue huku tumeshamla sana kaona soko halilipi tena maana huku wazuri wanazaliwa kila siku!Wanawake wote wazuri hikimbilia dar na wengine huletwa na wanaume wa vijijini maisha yakiwashinda wanatuachia.
Yaani Dar kila mwanamke ni mzuri.
Harafu wote nyashi
Kila nikija dar, nikienda sehemu za starehe nika post picha. Watu walioko dar ndio wanaongoza kuuliza "mwanangu upo wapi? Kiwanja gani hicho?" Hua nabaki kushangaa. Mimi tena ndio nianze kuwaelekeza kwamba hapa ni sehem fulaniTatizo umekaa sehemu moja kama mkundu, tafuta hela utembee
Kuna jamaa aba bar yake dar huwa anachukua wale makapi toka babati kuuza bar yake,yakifika dar watu wanaona ni malaika kumbe kwa babati ni rejectNi kweli kabisa wanawake wazuri hukimbilia dar. Ila ambacho unasahau ni kwamba kabla hawajakimbilia dar wanakua wapo huku mikoani! Ukiona mwanamke kakimbilia dar ujue huku tumeshamla sana kaona soko halilipi tena maana huku wazuri wanazaliwa kila siku!
Kiufupi hao wanawake wazuri mnaowasifia dar ni MAKAPI ambayo mikoani huku hakuna anaehangaika nayo! Wakifika dar kazi ni kupaka mikorogo na make up ili wawaibie washamba washamba wa hapo mjini nanyie mko hapa mnajisifia mna wanawake wazuri π
Ndio maana huwezi kuta malaya anakimbia dar kwenda kujiuza mikoani, malaya wote wanakimbia mkoani kuja kujiuza dar. Tafakari.
Mtu mwenye uthubutu wa kulala saa mbili ni mtu ambae hana shida ndogondogo za kimaisha. We unaezurura huko nje kama popo ndio tukushangae. Huna kwako? Usiku ni muda wa kupumzika na kulala sio kuzurura mitaani kama mwehu πArusha yenyewe ikifika saa 2 tu watu wamelala
fun fact watu wa dar wanahisi wanaishi maisha mazuri kuliko wote hii Tanzania πMtu mwenye uthubutu wa kulala saa mbili ni mtu ambae hana shida ndogondogo za kimaisha. We unaezurura huko nje kama popo ndio tukushangae. Huna kwako? Usiku ni muda wa kupumzika na kulala sio kuzurura mitaani kama mwehu π
Unajua kwa huku mkoani ukikuta binti hata ni bar maid au ni malaya, unamuona kabisa mtoto mbichi hajachoka. Demu hata ukiamka nae asubuhi bado anatazamika!!Kuna jamaa aba bar yake dar huwa anachukua wale makapi toka babati kuuza bar yake,yakifika dar watu wanaona ni malaika kumbe kwa babati ni reject
Huijui dar punguza kusimuliwa fika ujioneedar ukitoka nje ya mji kidogo tu mfn kitunda,chanika ,majohe hakuna cha maana
Yameshatoa mimba nyingi sana ,hana tofauti na mama aliyezaa watoto kumiUnajua kwa huku mkoani ukikuta binti hata ni bar maid au ni malaya, unamuona kabisa mtoto mbichi hajachoka. Demu hata ukiamka nae asubuhi bado anatazamika!!
Lakini dar kutana na bar maid yaani ni ameungua uso, kafubaa masikini, kachoooka yani ukimtoa hizo make up ni kama jini. Kinachowabeba ni make up na kuvaa nusu uchi ila wanawake wa dar wamechoka balaa..
Ndio maana mimi binafsi kamwe siwezi kuchukua mwanamke dar. Mimi nikija dar nakuja na mwanamke kutoka mkoa, au natuma nauli demu anifate dar.Yameshatoa mimba nyingi sana ,hana tofauti na mama aliyezaa watoto kumi