Ukiacha Messi, Mchezaji gani unamkubali anayetumia Mguu wa Kushoto?

Ukiacha Messi, Mchezaji gani unamkubali anayetumia Mguu wa Kushoto?

Asee kuna namba kumi mmoja alikua Argentina ya akina Batistuta,alikua anaitwa Eriel Ortega,wacha bhanaa aseee,nadhan vijana wa 96 huyu hawamjui alikua ni mwiba kweli kweli
Ortega ninayemfahamu mimi na wapenzi wengine nguli wa kufatilia soka, hatumjui Ortega wa kutumia mguu wa kushoto. Ortega alikuwa anatumia mguu wake wa kulia tena kwa ufasaha mkubwa.
 
Douglas Costa huyu mtu ni hatari sana.
uyu jamaa ni noma noma fire mno cjui kwann pale brazil anasugua gggaga kama xi bench na cjui why bayern walimwacha jamaa uyu ni roll model wangu kbsa
 
Back
Top Bottom