Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini utualazimisha kumkubali messi? unapomaanisha ukiacha messi unakusudia nini?
Maradona ndie greatest left footed player ever.
Ortega ninayemfahamu mimi na wapenzi wengine nguli wa kufatilia soka, hatumjui Ortega wa kutumia mguu wa kushoto. Ortega alikuwa anatumia mguu wake wa kulia tena kwa ufasaha mkubwa.Asee kuna namba kumi mmoja alikua Argentina ya akina Batistuta,alikua anaitwa Eriel Ortega,wacha bhanaa aseee,nadhan vijana wa 96 huyu hawamjui alikua ni mwiba kweli kweli
Ortega ninayemfahamu mimi na wapenzi wengine nguli wa kufatilia soka, hatumjui Ortega wa kutumia mguu wa kushoto. Ortega alikuwa anatumia mguu wake wa kulia tena kwa ufasaha mkubwa.
kwann unaweka condition et ukiacha Messi, Kwan umeambia kila mtu Messi anamkubali???..Mchezaji gani ambaye anatumia mguu wa kushoto ambaye unamkubali sana ukiacha Lionel Messi?
Yupo. Antonio ValenciaKwani kuna mchezaji asiyetumia mguu wa kushoto!!??? Labda utusaidie mchezaji Hata mmoja anayecheza kwa kutumia mguu mmoja
uyu jamaa ni noma noma fire mno cjui kwann pale brazil anasugua gggaga kama xi bench na cjui why bayern walimwacha jamaa uyu ni roll model wangu kbsaDouglas Costa huyu mtu ni hatari sana.
Douglas Costa vivè El Cóstá ndio roll model wanguMchezaji gani ambaye anatumia mguu wa kushoto ambaye unamkubali sana ukiacha Lionel Messi?
Nawe umelazimishwa kusoma na ku replay my comment?Umelazimishwa kucomment?