Ni Jambo jema Kwa mtu anayehatarisha usalama na masilahi ya taifa.Utekaji ni jambo jema??
Kujumlisha uuaji siyo?Ni Jambo jema Kwa mtu anayehatarisha usalama na masilahi ya taifa.
Tigilage kweli belaga!?Mudesi we?😂Huyu bwana, kila nipitapo madaraja Tazara, Tanzanite, ubungo, busis, na kila nionapo au kusikia SGR, air tanzania, bwawa la JK etc naishiaga kujisemea R.I.P the giant Magufuli
Nilisoma mahali "Lengo la kuvuruga nakuahirisha mchakato wa katiba mpya lilikua ni kumuingiza ili afanye hayo yaliyofanyika"Bwana yule alipingwa na kuandamwa hasa na daraja la juu(elites) la ndani na nje kwa pamoja kwa sababu hakuwa polished, alikuwa mtu blunt. Mawazo yake yawe mabaya au mazuri alikuwa akiyasema kwa namna ile ile tu bila kuremba, akikichukia alikuwa hajitahidi kuonyesha anakupenda, akikasirika au akiwa frustrated na jambo alikuwa anaonyesha wazi wazi hadharani, hakuwa mzuri kwenye mawasiliano ya umma, hakuzijua vizuri lugha zote mbili kuu muhimu za mawasiliano za watu wake. Alikuwa akionekana kama mshamba zaidi, tofauti na watoto wa mjini.
Jambo lingine la pili hakuwa na mawelewano mazuri na matajiri, alikuwa katika mapambano nao zaidi ,hakuwa rafiki wao wa kuaminika.
Ukiacha haya bwana yule hana tofauti sana na wengine. Waliyoyafanya au yanayofanyika hayana tofauti kubwa sana. Hakika historia itawahukumu vibaya wanaharakati uchwara na haitawasamehe kamwe.
KizuiziniKujumlisha uuaji siyo?
Aliwachukia matajiri bila ya kufahamu kwa kina madhara mapana ya hiyo chuki, hakujua ni kwa namna gani tajiri mmoja mkubwa anavyogusa maisha ya kila siku ya maskini zaidi ya mia moja.Bwana yule alipingwa na kuandamwa hasa na daraja la juu(elites) la ndani na nje kwa pamoja kwa sababu hakuwa polished, alikuwa mtu blunt. Mawazo yake yawe mabaya au mazuri alikuwa akiyasema kwa namna ile ile tu bila kuremba, akikichukia alikuwa hajitahidi kuonyesha anakupenda, akikasirika au akiwa frustrated na jambo alikuwa anaonyesha wazi wazi hadharani, hakuwa mzuri kwenye mawasiliano ya umma, hakuzijua vizuri lugha zote mbili kuu muhimu za mawasiliano za watu wake. Alikuwa akionekana kama mshamba zaidi, tofauti na watoto wa mjini.
Jambo lingine la pili hakuwa na mawelewano mazuri na matajiri, alikuwa katika mapambano nao zaidi ,hakuwa rafiki wao wa kuaminika.
Ukiacha haya bwana yule hana tofauti sana na wengine. Waliyoyafanya au yanayofanyika hayana tofauti kubwa sana. Hakika historia itawahukumu vibaya wanaharakati uchwara na haitawasamehe kamwe.
Uuaji unaendelea mpaka leo, kiasi cha wanaharakati kumlaumu Spika wakisema kaupinga umuhimu wa bunge kujadili juu ya suala la watu kutekwa na kuuawa.Kujumlisha uuaji siyo?
Kuna matajiri wakwepa kodi pia, madhalimu na wahujumu uchumi.Aliwachukia matajiri bila ya kufahamu kwa kina madhara mapana ya hiyo chuki, hakujua ni kwa namna gani tajiri mmoja mkubwa anavyogusa maisha ya kila siku ya maskini zaidi ya mia moja.
Alikuwa mtaalam wa kemia na hakuwa na ufahamu mpana wa masuala ya uchumi na hilo liliwatesa watu, mwanzoni bila ya yeye kufahamu juu ya suala hilo.