King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Mfano ni huyo mwaipaja aliyekuwa anachochea jenzii wa tz wafanye kama kenyaMfano nani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano ni huyo mwaipaja aliyekuwa anachochea jenzii wa tz wafanye kama kenyaMfano nani??
Unapotaka kumuumiza Manji humuumizi yeye kama yeye pekee, unaumiza waajiriwa wake wote na familia zao.Akili huna wewe!
Matajiri wengi huchukua hata kile kidogo cha wananchi ili wajilimbikizie mali
Unasema tajiri anagusa maisha ya masikini kwenye lipi kwa mfano?
Kuhusu hizo recruitment naona kama ni minong'ono tu ya radio mbao hakuna ushahidi wowote.Siyo umri wake wa kuishi.Ni tangu aanze kufanya recruitment ya kuzalisha wauaji,muda mfupi akakata rufaa ya maisha akawaacha vimbwenerehi wake bado wana kiu ya damu za watu.
Sheria haipaswi kuwa na macho kuangalia huyu ni tajiri au maskini, kama mtu anauza unga ashughulikiwe kulingana na sheria bila kujali ana watu wangapi nyuma yake, iwe tajiri, mwanasiasa au kiongozi wa dini. Hao watu wake watapata nafasi sehemu nyingine.Unapotaka kumuumiza Manji humuumizi yeye kama yeye pekee, unaumiza waajiriwa wake wote na familia zao.
Uchumi huwa na zile effects zinazoshuka chini, unapodhani unamkomoa tajiri, yeye anapanda ndege na kwenda kuishi Canada au Dubai anawaachia msala wote wenye kufaidika na bidhaa zake.
Maamuzi magumu bila hekima huwa mzigo kwa watu.
Sheria kuwepo kitu kimoja na sheria kuweza kutenda haki kwa wote ni kitu kingine tofauti kabisa.Sheria haipaswi kuwa na macho kuangalia huyu ni tajiri au maskini, kama mtu anauza unga ashughulikiwe kulingana na sheria bila kujali ana watu wangapi nyuma yake, iwe tajiri, mwanasiasa au kiongozi wa dini. Hao watu wake watapata nafasi sehemu nyingine.
Tofauti na wengine yeye alikuwa kichaa zaidiBwana yule alipingwa na kuandamwa hasa na daraja la juu(elites) la ndani na nje kwa pamoja kwa sababu hakuwa polished, alikuwa mtu blunt. Mawazo yake yawe mabaya au mazuri alikuwa akiyasema kwa namna ile ile tu bila kuremba, akikichukia alikuwa hajitahidi kuonyesha anakupenda, akikasirika au akiwa frustrated na jambo alikuwa anaonyesha wazi wazi hadharani, hakuwa mzuri kwenye mawasiliano ya umma, hakuzijua vizuri lugha zote mbili kuu muhimu za mawasiliano za watu wake. Alikuwa akionekana kama mshamba zaidi, tofauti na watoto wa mjini.
Jambo lingine la pili hakuwa na mawelewano mazuri na matajiri, alikuwa katika mapambano nao zaidi ,hakuwa rafiki wao wa kuaminika.
Ukiacha haya bwana yule hana tofauti sana na wengine. Waliyoyafanya au yanayofanyika hayana tofauti kubwa sana. Hakika historia itawahukumu vibaya wanaharakati uchwara na haitawasamehe kamwe.
Alikuwa kiongozi wa nchi si kiongozi wa watekaji na ndio maana akasema mtamkumbuka kwa mema yake, ajabu wewe bado unakumbuka TUHUMA za utekaji.Utekaji ni jambo jema??
Naungana nawe hapaAliwachukia matajiri bila ya kufahamu kwa kina madhara mapana ya hiyo chuki, hakujua ni kwa namna gani tajiri mmoja mkubwa anavyogusa maisha ya kila siku ya maskini zaidi ya mia moja.
Alikuwa mtaalam wa kemia na hakuwa na ufahamu mpana wa masuala ya uchumi na hilo liliwatesa watu, mwanzoni bila ya yeye kufahamu juu ya suala hilo.
Mwisho wa siku akaanza kujivuta kwa Rostam.Kuna matajiri wakwepa kodi pia, madhalimu na wahujumu uchumi.
Bwana yule mazuri yake kwenye majukumu yake ya kiongozi yalikuwa ya kipekee na ndio kinachofanya akumbukwe.Dah jana kwa mara ya Kwanza nimepita mitaa ya Wam darajani usiku duh mataa ya kumwaga usiku, nikajisemea duh kumbe ndio maana siku hizi sisikii ajali hapa?.
Lile Daraja miaka yote hakuna aliyekuwa hata na wazo la kujenga bwana yule kapita pale katoa amri moja tu 3yrs daraja limejengwa.
Bwana yule katoa amri moja Leo hii kwenye gridi tuna zaidi ya 2000MW.
Pale Mwanza Busisi Daraja linaelekea kukamilika, Mwanza -Geita-Bukoba-Kampala nk watu wanateleza tu kilaini kabisa.
Bwana Yule katoa amri moja tu, Leo hii SGR iko Mwanza.
Bwana yule pamoja na mambo yake, ila hii nchi ilimhitaji sana kuliko hawa wengine.
Sahihi.Maamuzi ya kushughulika na wadhalimu yanahitaji kuongozwa na busara za hali ya juu vinginevyo utaumiza wasiohusika pia.
Jazba na kiburi, na uviondoe kichwani mwako ikiwa unataka kufanikiwa katika suala la uongozi wa taifa lenye watu milioni 64.
Wewe unahitaji zaidi ya elimuAkili huna wewe!
Matajiri wengi huchukua hata kile kidogo cha wananchi ili wajilimbikizie mali
Unasema tajiri anagusa maisha ya masikini kwenye lipi kwa mfano?
Magufuli alikuwa hatumii sheria alikuwa anatumia hisia hii ni mbaya sana pale hisia zinapogeuzwa sheria.Sheria haipaswi kuwa na macho kuangalia huyu ni tajiri au maskini, kama mtu anauza unga ashughulikiwe kulingana na sheria bila kujali ana watu wangapi nyuma yake, iwe tajiri, mwanasiasa au kiongozi wa dini. Hao watu wake watapata nafasi sehemu nyingine.
Ni moja ya mambo ya kukumbukwa aliyoacha.Alikuwa kiongozi wa nchi si kiongozi wa watekaji na ndio maana akasema mtamkumbuka kwa mema yake, ajabu wewe bado unakumbuka TUHUMA za utekaji.