Ukiacha sifa ya uchapakazi, bwana yule si wa tofauti sana na wengine

Ukiacha sifa ya uchapakazi, bwana yule si wa tofauti sana na wengine

Mwanaharakati wa Afrika Kusini ,komredi Julius Malema ni MWANAHARAKATI zaidi ya mwanasiasa.....

Siasa ina mambo yake....


#Nchi Kwanza[emoji2956]
 
Nilisoma mahali "Lengo la kuvuruga nakuahirisha mchakato wa katiba mpya lilikua ni kumuingiza ili afanye hayo yaliyofanyika"

Jpm hakua na roho mbayahivyo!kuhusu utekaji ilipangwa kutokea kama inavyotokea sasa!

Kifupi ni kwamba ukienda kinyume na Dola inavyotaka watafanya lolote Ili usikubalike kwenye jamii halafu ndio wacheze na wewe yaani wanatafuta uhalali wa kuku flash out of throne!!

NAAMINI LEO SAMIAH AKITANGAZA GHAFULA HATOGOMBEA NA UTEKAJI UTAISHA FASTER BIN VUU!!

NAWAZA KAMA JF MEMBER!
Mambo mazito Sana haya
 
Unaacha sifa ya uchapakazi ili umlinganishe na nani? Na Kikwete?
Yani unaacha sifa kuu ya utendaji kazi wa mtu ili tu um-undermine.
Unaacha sifa ya uwezo wa kumiliki na ku-drible mpira wa Messi, ili umlinganishe na CR7 na useme hakuwa na uwezo wa kufunga kwa kichwa. It doesn't make sense!
 
Sio hilo tu mkuu, hoja nyingi zinazoelekezwa kwa serikali utaona anavyokuja juu na kukasirika na yeye kuanza kuitetea serikali, ni spika wa ajabu.
Huyu dada ni msomi sana wa sheria, hivyo mara nyingi anayaelewa masuala kuliko hao wabunge. Unapokosea kanuni anayo haki ya kukurekebisha na ni kwa faida ya kwako na wabunge wenzako.
 
Back
Top Bottom