The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Kwani hauendelei?Utekaji ni jambo jema??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hauendelei?Utekaji ni jambo jema??
Maamuzi ya kushughulika na wadhalimu yanahitaji kuongozwa na busara za hali ya juu vinginevyo utaumiza wasiohusika pia.Kuna matajiri wakwepa kodi pia, madhalimu na wahujumu uchumi.
Aliowaacha bado wana uchu.Kwani hauendelei?
Spika ana matatizo binafsi sijui kwa vile kile cheo kapewa bure na mpaka anamaliza muda wake sidhani kama kuna siku ataruhusu mijadala yenye tija kwa taifa ijadiriwe kwenye bunge lake, ana mihemko mingi sana.Uuaji unaendelea mpaka leo, kiasi cha wanaharakati kumlaumu Spika wakisema kaupinga umuhimu wa bunge kujadili juu ya suala la watu kutekwa na kuuawa.
Ni sawa na kuendelea kumlaumu Mwl. Nyerere Kwa mambo ambayo waliofuatia baada yake wangeweza kurekebisha kama ni kweli yeye alikua tatizo.Aliowaacha bado wana uchu.
Haongozwi na mihemko ya huku mitaani anaongozwa na sheria. Ni suala nyeti naamini wabunge wenyewe walichemka katika kuliwasilisha bungeni.Spika ana matatizo binafsi sijui kwa vile kile cheo kapewa bure na mpaka anamaliza muda wake sidhani kama kuna siku ataruhusu mijadala yenye tija kwa taifa ijadiriwe kwenye bunge lake, ana mihemko mingi sana.
Jamaa yenu had gone too soon wakati makuruta wake wa ujahili wakiwa ndiyo kwanza wamenogewa na nyama na damu za watu.Kazi ipo!Ni sawa na kuendelea kumlaumu Mwl. Nyerere Kwa mambo ambayo waliofuatia baada yake wangeweza kurekebisha kama ni kweli yeye alikua tatizo.
Labda yeye haoni🤔. Mtu anachoma picha anapotezwaKwani hauendelei?
Miaka 59 sio too soon ni mingi kwa mwafrika aliyefanya kazi nyingi na ngumu za urais. Marais waislam hawapendi kujipa presha nyingi katika awamu zao, Wanapumzika na kula maisha huku kazi ikiendelea.Jamaa yenu had gone too soon wakati makuruta wake wa ujahili wakiwa ndiyo kwanza wamenogewa na nyama na damu za watu.Kazi ipo!
Jamaa yetu? Sina ujamaa na yeyote hasa kwenye huu mjadala uliopo.Jamaa yenu had gone too soon wakati makuruta wake wa ujahili wakiwa ndiyo kwanza wamenogewa na nyama na damu za watu.Kazi ipo!
Siyo umri wake wa kuishi.Ni tangu aanze kufanya recruitment ya kuzalisha wauaji,muda mfupi akakata rufaa ya maisha akawaacha vimbwenerehi wake bado wana kiu ya damu za watu.Miaka 59 sio too soon ni mingi kwa mwafrika aliyefanya kazi nyingi na ngumu za urais. Marais waislam hawapendi kujipa presha nyingi katika awamu zao, Wanapumzika na kula maisha huku kazi ikiendelea.
Hayati JPM alifanya sana kazi na alikuwa nadhani na upweke mkubwa katika maisha yake binafsi.
The man himself. Jamaa alikuwa harembi kwa wale anaowateua. Aliwaambia waziwazi.Alisema mwenyewe heri awe unpopular president kuliko kusimamia uovu View attachment 3084219
Hiyo kazi jipe mwenyewe uifanye.Jamaa yetu? Sina ujamaa na yeyote hasa kwenye huu mjadala uliopo.
Unaweza kuelezea mambo ya utekaji yalianza lini? Mwenendo wake ukawaje Hadi hapa tulipo?
You are right sirHiyo kazi jipe mwenyewe uifanye.
Akili huna wewe!Aliwachukia matajiri bila ya kufahamu kwa kina madhara mapana ya hiyo chuki, hakujua ni kwa namna gani tajiri mmoja mkubwa anavyogusa maisha ya kila siku ya maskini zaidi ya mia moja.
Alikuwa mtaalam wa kemia na hakuwa na ufahamu mpana wa masuala ya uchumi na hilo liliwatesa watu, mwanzoni bila ya yeye kufahamu juu ya suala hilo.
Mfano ni huyo mwaipaja aliyekuwa anachochea jenzii wa tz wafanye kama kenyaMfano nani??