Ukiacha sifa ya uchapakazi, bwana yule si wa tofauti sana na wengine

Akili huna wewe!

Matajiri wengi huchukua hata kile kidogo cha wananchi ili wajilimbikizie mali

Unasema tajiri anagusa maisha ya masikini kwenye lipi kwa mfano?
Unapotaka kumuumiza Manji humuumizi yeye kama yeye pekee, unaumiza waajiriwa wake wote na familia zao.

Uchumi huwa na zile effects zinazoshuka chini, unapodhani unamkomoa tajiri, yeye anapanda ndege na kwenda kuishi Canada au Dubai anawaachia msala wote wenye kufaidika na bidhaa zake.

Maamuzi magumu bila hekima huwa mzigo kwa watu.
 
Sheria haipaswi kuwa na macho kuangalia huyu ni tajiri au maskini, kama mtu anauza unga ashughulikiwe kulingana na sheria bila kujali ana watu wangapi nyuma yake, iwe tajiri, mwanasiasa au kiongozi wa dini. Hao watu wake watapata nafasi sehemu nyingine.
 
Sheria kuwepo kitu kimoja na sheria kuweza kutenda haki kwa wote ni kitu kingine tofauti kabisa.

Huwezi kuwa na chuki dhidi ya matajiri na ukaweza kufika mbali, utakwamia tu njiani.
 
Tofauti na wengine yeye alikuwa kichaa zaidi
 
Utekaji ni jambo jema??
Alikuwa kiongozi wa nchi si kiongozi wa watekaji na ndio maana akasema mtamkumbuka kwa mema yake, ajabu wewe bado unakumbuka TUHUMA za utekaji.
 
Naungana nawe hapa
 
Kuna matajiri wakwepa kodi pia, madhalimu na wahujumu uchumi.
Mwisho wa siku akaanza kujivuta kwa Rostam.

Kwa mataifa smart baadhi ya moves zake asingefanya abadani
 
Bwana yule mazuri yake kwenye majukumu yake ya kiongozi yalikuwa ya kipekee na ndio kinachofanya akumbukwe.
 
Ni suala la muda tu hata Lema na Lisu watamkubali tu
 
Maamuzi ya kushughulika na wadhalimu yanahitaji kuongozwa na busara za hali ya juu vinginevyo utaumiza wasiohusika pia.

Jazba na kiburi, na uviondoe kichwani mwako ikiwa unataka kufanikiwa katika suala la uongozi wa taifa lenye watu milioni 64.
Sahihi.

Wenzetu wana board maalum ya kushughulika na mambo haya wakiwemo senior ministers.
 
Akili huna wewe!

Matajiri wengi huchukua hata kile kidogo cha wananchi ili wajilimbikizie mali

Unasema tajiri anagusa maisha ya masikini kwenye lipi kwa mfano?
Wewe unahitaji zaidi ya elimu
 
Magufuli alikuwa hatumii sheria alikuwa anatumia hisia hii ni mbaya sana pale hisia zinapogeuzwa sheria.
 
R. I. P Mwamba Dr. JPM
Jiwe lenye Doctorate ya kusotea, sio wale wengine
 
Alikuwa kiongozi wa nchi si kiongozi wa watekaji na ndio maana akasema mtamkumbuka kwa mema yake, ajabu wewe bado unakumbuka TUHUMA za utekaji.
Ni moja ya mambo ya kukumbukwa aliyoacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…