Ukiacha sifa ya uchapakazi, bwana yule si wa tofauti sana na wengine

Mwanaharakati wa Afrika Kusini ,komredi Julius Malema ni MWANAHARAKATI zaidi ya mwanasiasa.....

Siasa ina mambo yake....


#Nchi Kwanza[emoji2956]
 
Mambo mazito Sana haya
 
Unaacha sifa ya uchapakazi ili umlinganishe na nani? Na Kikwete?
Yani unaacha sifa kuu ya utendaji kazi wa mtu ili tu um-undermine.
Unaacha sifa ya uwezo wa kumiliki na ku-drible mpira wa Messi, ili umlinganishe na CR7 na useme hakuwa na uwezo wa kufunga kwa kichwa. It doesn't make sense!
 
Sio hilo tu mkuu, hoja nyingi zinazoelekezwa kwa serikali utaona anavyokuja juu na kukasirika na yeye kuanza kuitetea serikali, ni spika wa ajabu.
Huyu dada ni msomi sana wa sheria, hivyo mara nyingi anayaelewa masuala kuliko hao wabunge. Unapokosea kanuni anayo haki ya kukurekebisha na ni kwa faida ya kwako na wabunge wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…