safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Mkuu huu ushahidi unaacha maswali mengi kwa sababu wanaoamini jua ndo linazunguka dunia pia wanatumia hoja hii hii.Mkuu ushahidi unataka uuonaje? Usiku na mchana huuoni? Majira ya masika na kiangazi huyaoni mkuu? Huo ndio ushahidi mkuu.
Kwa hivyo hata dhana ya jua kuzunguka dunia pia tunaweza kupata usiku na mchana.
Kwa hiyo hii hoja inatumika kwa pande zote mbili,kuna hoja ipi ambayo pengine tunaweza kusema inajadilika na upande mmoja tu mkuu ?
Lengo ni kujaza maarifa