Mkuu huu ushahidi unaacha maswali mengi kwa sababu wanaoamini jua ndo linazunguka dunia pia wanatumia hoja hii hii.Mkuu ushahidi unataka uuonaje? Usiku na mchana huuoni? Majira ya masika na kiangazi huyaoni mkuu? Huo ndio ushahidi mkuu.
Sawa mkuu. Tusubiri wajuvi waje watuelimishe.Mkuu huu ushahidi unaacha maswali mengi kwa sababu wanaoamini jua ndo linazunguka dunia pia wanatumia hoja hii hii.
Kwa hivyo hata dhana ya jua kuzunguka dunia pia tunaweza kupata usiku na mchana.
Kwa hiyo hii hoja inatumika kwa pande zote mbili,kuna hoja ipi ambayo pengine tunaweza kusema inajadilika na upande mmoja tu mkuu ?
Lengo ni kujaza maarifa
Pa1 mkuuSawa mkuu. Tusubiri wajuvi waje watuelimishe.
Nawaza waTz wengi ambavyo kipato chetu ni kidogo sijui tutawezaje kuafford masweta mazuri, skaf, buti n.k kujikinga na baridi la namna hyo! Kama hali ya hewa itakuwa hvyo kwa maeneo mengi hapa [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].Kabisa mkuu. Huenda kuna cycle ya karne 23 au 24 kukamilika. Sasa hivi ndio inaelekea kukamilisha mzunguko wake kwa hiyo hizi ndio dalili za mwanzo kuanza kuingia kwenye cycle mpya.
Ushahidi fanya jitihada utoke nje ya dunia uone inavyozunguka kama huwezi tuliza mshono tule dagaa na mlenda..!Mpaka sleo sijaonna tafiti ya kuniridhisha inayonishawishi kyamini eti dunia inazunguka kutoka sehemu moja kwenda sehemu ingine.
Na utandawazi huu wote bado siamini kwamba dunia inazunguka....
Nje ya dunia wapi wewe na hapa ndio nje tulipoUshahidi fanya jitihada utoke nje ya dunia uone inavyozunguka kama huwezi tuliza mshono tule dagaa na mlenda..!
Mkuu so jua liwe linazunguka sayari zote..🤣🤣🤣Mkuu huu ushahidi unaacha maswali mengi kwa sababu wanaoamini jua ndo linazunguka dunia pia wanatumia hoja hii hii...
Dunia ikiongeza speed masaa yanaachwa na siku. Pili haitosababisha kuongezeka kwa upepo. Maana upepo huu umefumbwa ndani ya matabaka flani mfano ozon hivyo speed itaongeza na matabaka yakeNi kadunia tu kameongeza speed ya kuzunguka hivyo kaupepo na kabaridi vikaongezeka
Namaanisha toka kwenye uso wa dunia hii nje tuliyopo..Nje ya dunia wapi wewe na hapa ndio nje tulipo
Wanajimu tunaona picha zao wakiwa ooter space sijawahi kuona dunia ikizunguka.Namaanisha toka kwenye uso wa dunia hii nje tuliyopo..
Mimi sikusoma ila ntajaribu. Jua kuhama eneo la kutokea na kuzama kunathibitisha hilo. Jua kushindwa kuzama kabisa kwa baadhi ya nchi za ulaya kipindi cha joto kinanifanya niamini hilo.Mpaka sleo sijaonna tafiti ya kuniridhisha inayonishawishi kyamini eti dunia inazunguka kutoka sehemu moja kwenda sehemu ingine..,
Yote yanawezekana kwa sababu jua linatoa mwanga pande zote za ulimwengu.Mkuu so jua liwe linazunguka sayari zote..🤣🤣🤣
Sasa hapo Dar Kuna baridi gani nawewe, njoo huku njombeDar es salaam haijawahi kuwa na majira ya baridi kwa muda mrefu hivi. Biharamulo nimeona clip kuna hadi barafu inadondoka kitu ambacho hakijawahi kushuhudiwa. Ulaya wanateseka na joto...
Naelewa hapo nilitania tuDunia ikiongeza speed masaa yanaachwa na siku. Pili haitosababisha kuongezeka kwa upepo. Maana upepo huu umefumbwa ndani ya matabaka flani mfano ozon hivyo speed itaongeza na matabaka yake
Try to find knowledge for yourself!. Sioni haja ya wao kutuficha ati dunia inazunguka so wanapata nini wakisema hivyo..? Mkuu hoja zako zibajibika ila tafuta maarifa just kwa kukupa mwanga ielewe space na gravity kama alivyoielezea Albert Einstein inajibu vitu vingi sana na vyengine vingi tu. Ukishindwa tafuta hela toka kwenye uso wa dunia iangalie utuletee na mrejesho.. hilo ndo jibu zuri zaidi alasivyo hapa tutaumana tu..😅Wanajimu tunaona picha zao wakiwa ooter space sijawahi kuona dunia ikizunguka.
Lskini pia hata ukiwa kwenye ndege umeuacha uso wa dunia huwezi kuona dunia ikizunguka hata siku moja.
Umeshasema jua linahama na sio dunia ndo inahama,maana yake tunakubaliana kwamba jua ndio linatembeaJua kuhama eneo la kutokea na kuzama kunathibitisha hilo
Naomba ufafanue kivipi jus kushindwa kuzama baadhi ya Nchi uwe uwe ni uthibitisho wa kutembea kwa dunia na sio juaJua kushindwa kuzama kabisa kwa baadhi ya nchi za ulaya kipindi cha joto kinanifanya niamini hilo.
Hata gari ikiwa mbali na wewe utaiona ndogo,ikiwa inakuja inasogea utazidi kuiona kubwa.Utofauti wa mwonekano wa jua kwa kila nchi linathibitisha pia na utofauti wa urefu wa usiku na mchana na usiku kulingana n
Kipi kinazuia kuwepo urefu wa usiku na mchana endapo jua ndo linazunguka dunia ?utofauti wa urefu wa usiku na mchana na usiku kulingana na umbali kutoka ikweta pia inathibitisha