Ukiachana na dunia kulizunguka jua na kujizungusha kwenye muhimili wake nadhani kuna mzunguko mwingine ambao wanasayansi hawajaugundua

Nimepitia hii kitu ice age inaongelea kuhusu kupunguza joto duniani. Anyway hii ni elimu ambayo inahitaji muda kuielewa. Kuna concepts nyingi tu inaongelea ambazo inakuwa ngumu to make sense of it. Kiufupi nimetoka kapa. Sunspot ndio kabisa hata sielewi wanaongelea kitu gani. There are lot of scientific concepts that a layman is hard to grasp.
 
Mkuu hata bara la antarctica halikuwa limefinikwa na barafu. Lilikuwa na mito na wanyama.
Pia sahara ilikuwa imefunikwa na vegetation.
Ndiyo maana kuna watu wana argue kwamba mabadiliko ya hali ya hewa hayasababishwi na shughuli za kibinadamu
 
Nawaza waTz wengi ambavyo kipato chetu ni kidogo sijui tutawezaje kuafford masweta mazuri, skaf, buti n.k kujikinga na baridi la namna hyo! Kama hali ya hewa itakuwa hvyo kwa maeneo mengi hapa [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].
Usijali mkuu,kama itakuwa kama anavyosema mtoa mada kuwa huko ulaya hali itabadilika na kuwa kama yetu basi wao hawatahitaji hayo makoti ya sufi na boot za manyoya,hivyo watatupa sisi masikini tunaoyahitaji,kumbuka hata sasa hayo mavitu yapo tele kwenye mikokoteni mitaani,tena yanauzwa buku moja hadi kumi tu,ondoa shaka mkuu.
 
Mkuu hata bara la antarctica halikuwa limefinikwa na barafu. Lilikuwa na mito na wanyama.
Pia sahara ilikuwa imefunikwa na vegetation.
Ndiyo maana kuna watu wana argue kwamba mabadiliko ya hali ya hewa hayasababishwi na shughuli za kibinadamu
Mkuu ya kweli haya? Ni miaka gani antarctica haikuwa imefunikwa na barafu mkuu? Kama ni kweli basi tujiandae kuwa na maisha kama ya ulaya.
 
Mkuu ya kweli haya? Ni miaka gani antarctica haikuwa imefunikwa na barafu mkuu?
Mamilioni ya miaka iliyopita. Kuna hadi ramani ya zamani ya aliyekuwa admiral wa jeshi ya Ottoman, linaonyesha mito, milima na topography ya anatarctica bila barafu na imekuja kugundulika iko accurate sana. Hiyo ramani ni ya mwaka 1530.
 
Kwa hiyo tujiandae kuishi kama ulaya mkuu?
 
Inachukua muda si unajua kuwa hata magnetic north inashift
Yeah hata mimi nimeliongelea hilo kwenye thread mama. Maybe what we see now is just a tip of the iceberg. Huenda inakuchukua zaidi ya karne kukamilisha hii cycle.
 
Yeah hata mimi nimeliongelea hilo kwenye thread mama. Maybe what we see now is just a tip of the iceberg. Huenda inakuchukua zaidi ya karne kukamilisha hii cycle.
Nimekuwa nikisoma Hindu scriptures na mambo mengine, it seems kila kitu ni cycle yani mambo yanaenda yanafika tamati yanaanza upya.
Ukisoma maandiko ya wahindu yanazungumzia vitu ambavyo ni advanced zaidi ya science tuliyonayo.
Huenda dunia inapitia vipindi kadhaa na kuanza upya tena
 
Uko sahihi mkuu. Kuna kitu kinaitwa "the universe". Watu wengi hudhani the universe ni dunia tu, hapana. The universe ni dunia, nyota na sayari zingine ambazo hatuzijui. So, the universe has a lot in store for creatures. Creatures are not only human beings. Kuna viumbe zaidi ya hawa tunaowajua ambao ni wakazi wa hii universe and when the time goes by tutakuja kugundua kuwa kumbe kuna viumbe wengine ambao wana akili zaidi hata ya binadamu wanaishi kwenye hii universe. Na undoubtedly kuna mabadiriko makubwa sana ya hali ya hewa yatatokea yatakayosababishwa na cycles tusizozijua so far. Naomba pia nikubaliane na wewe kuhusu bara la antarctica.
 
Na huenda labda kuna cycles zingine bado hazijafikia mwisho.
 
Mkuu,
ukiwa na muda, basi pitia hii Film chini. Inahusiana sana na SPHINX ya Egypt iliyo pembeni na Pyramid of Giza.

Jua nalo Lina sogea kutoka kusini kuja kaskazini(movement of the Sun) hii ndio inapelekea vitu kama hivyo.

Nitakuletea baadhi ya evidence za ma navigator waliofanya tafiti na kuthibitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…