Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Ingine[emoji1787]Nakuja ila sikai sana
LegendLakini sijala
Hahha hapa utaskia we njoo kuna kitu kizuriNikija utanipa nini.
Legend [emoji119][emoji119]"Toka nje uje kumlipa bodaboda"
"Embu shika ongea na bodaboda"
muelekeze ni wapi
" Hivi ni Chumba namba ngapi au kinaitwa je"
" Nshafika tayari"
" Nimeshafika kwako tayari funguo umeweka wapi "
[emoji13][emoji13][emoji13]Nakuja upo wapi?
Nimeshafika uko wapi?
Yani hizi kauli nikiskia asee nakuwa kama nimeshinda jackpot Sportpesa 208 million[emoji28][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukinichelewesha siji tena