Ukiachana na "Kazime Taa" Ni kauli gani nyingine ya ndio unayoijua?

Ukiachana na "Kazime Taa" Ni kauli gani nyingine ya ndio unayoijua?

Ndo nakaribia ,

Una condom?

Mmh ngoja tuone,

Ntakua siji tena.....

Nakuja ila ntakaa chini

Kwan hatuwez kuonana sehemu nyingine

Hiyo nauli unatuma saa ngap


Nakuja ila kichwa kinaniuma sitaki unisumbue

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]




Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio lazima uisome mkuu,, pita tu na mambo zako easy saaaanA
kafunge mlango kwanza! apo ndio utajua mwanaume unahatua kama za mpma mashamba ya kijiji
😀😀😀😀 kweli kabisa,siku jumapl mchana napika nimeacha vitu jikon vinachemka nimeenda chumban..mr nimemuacha seburen zen akanifuata anataka nikamwambia mm napika sahiz bna..mbishi mm nataka bwana, nikasema iv kazime jiko bas,khaa km alipaa sec amesharud wakt jikon na chumban pana umbali kdg..
 
Back
Top Bottom