Siku moja nimempanga Manzi aje getho,,On the way manzi yupo kwenye daladala,,, nasikia meseji kwa simu yangu kama ifuatavyo:-
Manzi: Nipo ........... Hapa baby
Mimi: Sawa mama karibu sana.
Manzi: Mmmh..!! sijui Leo ntarudi salama Mimi,, ntarudi me nyumbani..
Mimi: Usijari mama upo sehemu salama na upo na mtu makini...
Manzi: Mmmh nisije nkarudi nachechemea jomoni..
Mimi: Urudi unachechemea kwani unakuja kucheza mieleka huku..?
Manzi: Mhh haya bhana..
Baada ya mda kidogo nasikia meseji tena..
Manzi: Nimefika baby uko wapi..?
Mimi: Napiga jicho stand mtoto huyoo amevamia maeneo, kumuona tu mkuyenge ukasimama, nikawa nanyata mdogomdgo ili mashine ipoe...
Duuuuh huu ujana kweli maji ya moto..!!!!