Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,045
- 2,975
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wakuu,
Kuna kauli nyingi za hawa warembo wetu wanazisema tukiwa katika harakati za kusaka tunda..
Ni kauli gani ukizisikia tu, unajua hapa tayari mambo yametiki?
Mimi;
- Kazime Taa
- Huyu hapa bodaboda muelekeze
Shusha nyingine unazozijua..
Subiri niende uwani..