Naona hiyo ni ya nyie matajiri tu
Hapana mkuu, mimi nilisema tuu sio kwamba nina Jacuzzi au Hot tub. Pia mie sio tajiri mkuu, ninanuka shida. 😁
Naona hiyo ni ya nyie matajiri tu
Jana kachakazwa na leo kauza mechi.Kazingua big time aisee..!! 😹😹😹
ukishuka unywe na chai ya rangi kabisa !Nipo juu ya gunia muda huu,nikishuka nitakujibu vizuri.
Moshi ya Kilimanjaro au Moshi ipi?Real kamasutra 🤔
Wajapani hao na kitabu kiliandikiwa Moshi.
Kagoma kuingiza team uwanjani.Jana kachakazwa na leo kauza mechi.
Dada mzinguaji sana!
Mimi ni tajiri mkubwa tu ila jaccuz yangu sio ya kufanyia mapenziHapana mkuu, mimi nilisema tuu sio kwamba nina Jacuzzi au Hot tub. Pia mie sio tajiri mkuu, ninanuka shida. 😁
Sana, maji ya moto, mnateleza tu.Jacuzzi kama lipo waga lina utamu wake kuchapiana mijegele night kali.
Japo hii sio ya kila mtu. 😁
Hiyo si inakua mmewaiga Bata?Jacuzzi kama lipo waga lina utamu wake kuchapiana mijegele night kali.
Japo hii sio ya kila mtu. 😁
Umenikumbusha enzi hizo usichana umepamba moto, nilikua na boyfriend kila akinitibua anasema "kama nimekuudhi nipige basi" halafu nikifoka anasimamisha mjegeje wake 😂😂 Siku moja hasira zikanizidia, nikamzabua kibao, kumbe anapenda buana toka siku hiyo anataka kupigwa na anafurahi nikimfokea 😂😹😹😹 Anapenda hekaheka hataki mapenzi ya amani..!!
Wapo wanaopenda hizo mambo, mimi yalinishinda kwa kweli ila wewe ungemfaa sana yule mkaka.Unajua nachekaga sana hivi humu kuna mtu anatamani kunidate na akili zangu hizi? 🤣😹😹
Mi mwenyewe najiogopa sasa wao wataniweza kweli?
Basi karibu, mimi ni mama mchungaji, humu JF huwa nahubiri neno tusio ID mpya jf nmeingia sina mda mref
Hiyo si inakua mmewaiga Bata?
Bestie, unatuchota sana buanaKuna ile demu anapanda juu ya mlango kama kibaka.
We ukipata mtu akakulaghai akakuweka lazima utatulia humu.😹😹😹 Anapenda hekaheka hataki mapenzi ya amani..!!
Unajua nachekaga sana hivi humu kuna mtu anatamani kunidate na akili zangu hizi? 🤣😹😹
Mi mwenyewe najiogopa sasa wao wataniweza kweli?
Ebu nidokezee kwenye kibomba na kubana kihara****Si kweli, hata sisi wanawake huwa tuna hamu na tunakua tunataka mtupe tendo, ila labda omba yetu ni ya kimatendo zaidi, japo tupo amabao tunatumia maneno pia.
Wanawake hamu ya tendo huwa inaanzia nje ya chumbani, kama mwanamke hana furaha, ana stress au changamoto nyingine, ni ngumu kuzipa nafasi hisia za matamanio ya kimwili.
Ukitaka kupewa utamu na kufurahia mapenzi, hakikisha unasaidia kumpunguzia magumu yake, kumuappreciate au kumfanyia vitu vizuri nje ya chumbani. Hichi ndiyo kilainishi kikubwa kuliko hata kushikwa shikwa au maandalizi yoyote ya kitandani.
Kwa vidole, au kibomba cha maji ya chooni, au kukibana kiharage etc.
Wewe si "me" lakini, unataka nikuambie hizi mambo uzifanyie nini 😂?Ebu nidokezee kwenye kibomba na kubana kihara****
Hapo kwenye kunilaghai ndo mtihani ulipo 😹We ukipata mtu akakulaghai akakuweka lazima utatulia humu.
Mzee mwenzangu, reply #28 naomba unisaidie kuielezea kwa male perspective inakuwaje?We ukipata mtu akakulaghai akakuweka lazima utatulia humu.
Sema wewe platnum 💎 labda ataelewa, hataki kunielewa mapenzi ya vita mbona nayaweza, ndio maana nimemuandalia kamba 😏Akuelewe tu, unamfuatilia muda mrefu sana.
Inaonekana unapenda kuendeshwa endeshwa, akumudu usifurukute.
Lamomy mpe nafasi mpwa wangu akuonyeshe mambo ya vijana wa alfu mbili.