Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #121
Na kifo cha mende tumeiga mende, ni asili tu ya maisha.Mkuu mbona "Doggystyle" tumewaiga mbwa! Hakuna ubaya tukiwaiga bata pia. 😁
Na kifo cha mende tumeiga mende, ni asili tu ya maisha.Mkuu mbona "Doggystyle" tumewaiga mbwa! Hakuna ubaya tukiwaiga bata pia. 😁
Na kifo cha mende tumeiga mende, ni asili tu ya maisha.
Mxiewwww 😹😹Nakuongezea baraka hujui tu mi nina high energy si unasikiaga mwili kama unapigwa electric shock ujue nini mimi nakuimagine 😁
Inaweza kupunguza libido sababu ya kushuka kwa level za homoni ila inatofautiana sana kati ya mwanamke na mwanamke. Na siku hizi kuna dawa za kurudisha hormone wanawake, waanza kutumia kabla ya menopause na zile effect za mabadiliko zinakua hazipo tena, wanataka penzi kama kawaida.Mfn tunaona wanawake wa miaka 50+ tunajua wengi wanaingia au wanekwishaingia menopause
Je menopause ina motivate sex au la kama sio vipi baadhi ya kina mama wenye hiyo miaka kusikia analea vijana wadg wa kumkanda
Mmama anakua na hisia kama kawaida ila inawezekana ute ukapungua, japo kuna dawa za kupaka au mnatumia lube mambo yakua sawa tu.Je kihisia anakuwaje vipi kuhusu hisia zinakuwa zipo juu ama, vipi orgasm nayo vipi kuhusu mazingira ya kei napo nifahamishe
Utasema tu baba Paroko 😁 😎Nina ndoa changa
10q ndiyo nini?10q mama mchungaj wa moto san cjui baba pasta atakuaje
Mume wa mtu naye kaongezea ziada hapo 👇ni kawaida kweli?
Asante mzee mwenzangu, ila kushindwa kuoga bafuni pamoja ni kipengele, sisi bado hatujafika huko 😂Ni sawa kabisa, highs na lows za kutosha. Mambo hayaendi kama mwanzo maana kuna majukumu, stages kama ujenzi, kuanza kupeleka madogo shule za gharama nk vinafanya mambo yasiwe kama mwanzo.
Ila kuna nyakati mnarudia zile zama za mwanzo, zinaweza kuwa nyakati fupi tu, mama anakutext kabisa leo baby uwahi I'm horny, ukisikia hivyo hata kama una madeni yanatoweka kwa mda.
Ukiwa na chumba self contained hasa baada ya kuwa na watoto inasaidia faragha yenu, sometimes muoge pamoja, kuna wanaowekana bafuni(mimi naogopa kupoteza nguvu za miguy na kuanguka so sifanyii huko😅), Ila meza na makochi madogo(nilalo😅😅) ni sehemu za kubadilisha ladha. Tunawekana mikao kama yote, exploring sex doesn't end hadi kila kitu kiishe mwilini😅
Kitanda lazima kiendane na matumizi yake 😂Ila kitanda kiwe imara msije mkakivunja maana miondoko hii hatari kwa usalama
Toa mifano mkuuMikao kibao tuu inawezekana! Ni nyie tuu kuwa flexible. 😁
Hiyo nilijibu ile reply ya mfano wa doggy ila sio mkao wa kwenye jacuzzi huo.Sasa kifo cha mende kwenye Jacuzzi, haiwezekani, utakunywa maji ufe. 😁
Toa mifano mkuu
Karibu upige chaboo 😂😂Huwa unakitumiaje last born wa mama 😂?
Habari za kujigenyesha bila kupewa tamu sizitaki 😎Karibu upige chaboo 😂😂
Vipi we kiongozi huwa unakula mlo gani?Duuh kumbe kuna Mlo na mlo kamili
Unaweza join tu 😂😂Habari za kujigenyesha bila kupewa tamu sizitaki 😎
Ngoja nitakurekodia, uone kwa vitendo.😂🤣Maelezo hayajajitosheleza kabisa mtaalamu!