Ukiachana na kitanda, una nini chumbani kwako kinachowasaidia wewe na mwenzako kubadili ladha ya chakula cha usiku?

Ukiachana na kitanda, una nini chumbani kwako kinachowasaidia wewe na mwenzako kubadili ladha ya chakula cha usiku?

Si kweli, hata sisi wanawake huwa tuna hamu na tunakua tunataka mtupe tendo, ila labda omba yetu ni ya kimatendo zaidi, japo tupo amabao tunatumia maneno pia.

Wanawake hamu ya tendo huwa inaanzia nje ya chumbani, kama mwanamke hana furaha, ana stress au changamoto nyingine, ni ngumu kuzipa nafasi hisia za matamanio ya kimwili.

Ukitaka kupewa utamu na kufurahia mapenzi, hakikisha unasaidia kumpunguzia magumu yake, kumuappreciate au kumfanyia vitu vizuri nje ya chumbani. Hichi ndiyo kilainishi kikubwa kuliko hata kushikwa shikwa au maandalizi yoyote ya kitandani.


Kwa vidole, au kibomba cha maji ya chooni, au kukibana kiharage etc.
Mfn tunaona wanawake wa miaka 50+ tunajua wengi wanaingia au wanekwishaingia menopause

Je menopause ina motivate sex au la kama sio vipi baadhi ya kina mama wenye hiyo miaka kusikia analea vijana wadg wa kumkanda


Je kihisia anakuwaje vipi kuhusu hisia zinakuwa zipo juu ama, vipi orgasm nayo vipi kuhusu mazingira ya kei napo nifahamishe Nina ndoa changa
 
Umenikumbusha enzi hizo uzichana umepamba moto, nilikua na boyfriend kila akinitibua anasema "kama nimekuudhi nipige basi" halafu nikifoka anasimamamisha mjegeje wake 😂😂 Siku moja hasira zikanizidia, nikamzabua kibao, kumbe anapenda buana toka siku hiyo anataka kupigwa na anafurahi nikimfokea 😂
Mi siombi ruhusa ya kumzabua ujue 😹😹😹
Nna kono jepesi kweli nikikasirika sekunde nalamba mtoto wa mtu kelbu..!!
 
Mambo na vijimambo 🤭

Hapana haiwi kama mwanzo, kuna spidi inapungua, na mapenzi yanakua sehemu tu ya maisha na si center ya mahusiano yenu.

Kuna highs na low, kuna wakati midinyano mingi na kuna kipindi siyo kivile.

Kuwa intentional wakati ndiyo mnaanza, kama mkijenga kuweka chumba cha kulala kikubwa au choo ndani kunasaidia kuamsha amsha mambo mkiwa mpo kwenye low season.

ERoni njoo unisaidie kujazilizia nyama kwenye hili!
Ni sawa kabisa, highs na lows za kutosha. Mambo hayaendi kama mwanzo maana kuna majukumu, stages kama ujenzi, kuanza kupeleka madogo shule za gharama nk vinafanya mambo yasiwe kama mwanzo.

Ila kuna nyakati mnarudia zile zama za mwanzo, zinaweza kuwa nyakati fupi tu, mama anakutext kabisa leo baby uwahi I'm horny, ukisikia hivyo hata kama una madeni yanatoweka kwa mda.

Ukiwa na chumba self contained hasa baada ya kuwa na watoto inasaidia faragha yenu, sometimes muoge pamoja, kuna wanaowekana bafuni(mimi naogopa kupoteza nguvu za miguy na kuanguka so sifanyii huko😅), Ila meza na makochi madogo(nilalo😅😅) ni sehemu za kubadilisha ladha. Tunawekana mikao kama yote, exploring sex doesn't end hadi kila kitu kiishe mwilini😅
 
Hahahaha kuna mtu alinikatalia Leo kuhusu kibomba sasa nahitaji brief tuu kesho nimwonyeshe hii dunia ina mambo kuliko
Kibomba hicho kinaweza kufanya uanguke bafuni 😂 unakilengesha tu hapo kwenye kipochi manyoya, maji ya yanakua kwenye high pressure, unasikilizia exact point inayoleta msisimko unakichezesha hapo mpaka unamwaga.

Sisi tuliochelewa kuanza midinyano hivi vibomba tulivichezea sana, mpaka tulivyopata ukuni tukaacha.
Me sio muumini wa gegedo bhn 😂 baba paroko hapa
Baba paroko halafu muongo 🤔
 
Kibomba hicho kinaweza kufanya uanguke bafuni 😂 unakilengesha tu hapo kwenye kipochi manyoya, maji ya yanakua kwenye high pressure, unasikilizia exact point inayoleta msisimko unakichezesha hapo mpaka unamwaga.

Sisi tuliochelewa kuanza midinyano hivi vibomba tulivichezea sana, mpaka tulivyopata ukuni tukaacha.

Baba paroko halafu muongo 🤔
Hahahaha kwann madam
 
Mi siombi ruhusa ya kumzabua ujue 😹😹😹
Nna kono jepesi kweli nikikasirika sekunde nalamba mtoto wa mtu kelbu..!!
Nimecheka sana, ila mwanakwetu una nini wewe 😂
Happy Rachel Lindsay GIF by The Ringer.gif
 
We endelea kujificha usionekane maana siku wakikuona wakaichapa hiyo papa wallah utakaa kimya, papara zako ni vile unajua no one knows you, hakuna aliyeichapa humu so huna shida😅
Wanaume wenyewe hawa wa kuja kutangaza watasubiri sana..!! 😹😹😹

Humu tufurahi tutoke kwenye keyboard turndelee na maisha mengine kugawana vipapa ni kutafuta stress..!!
 
Back
Top Bottom