Ukiachana na kuwa Mwafrika, kitu gani kingine unakichukia?

hawakuendelea ila walipokuja huku nakuona vitu tofauti na kwao wakaamua kuvitafiti.

Walipogundua vina faida ndipo wakaja kututawala lakini sisi hadi tuna malighafi nyingi lakini bado hatuvitumii kimaendeleo makubwa.
Uko sahihi.

Pointi ya msingi hapa ni je, kinachosababisha ujinga na uduni wa mtu ni rangi ya ngozi yake ama ni mazingira?

Jibu ni mazingira.

Baraka Obama na Benjamini Carson ni weusi, lakini kutokana na mazingira waliokulia, wanaheshimika duniani kote.
 
CCM
 
yeah hata sisi wa huku tukibadilika mbona afrika nitaipenda
 
Matokeo tuliyo nayo ni matokeo ya fikra zetu , ndio maana wenzetu walianza kupiga marufuku kwanza fikra potofu kama za uchawi.
 
Why i was born in Africa cronic diseases of ignorance..... Waliosoma literature watakikumbuka hii kitabu
 
Hamia ulaya
 
Sijawahi kujichukia kuwa mwafrika, napenda ngozi yangu na lifestyle nayoishi hapa Tanzania

Kinachonikera ni pale napoona uongozi mbovu na kucheleweshwa kwa makusudi kwa maendeleo ambayo yanaweza kupatikana endapo ubadhirifu utakomeshwa na kunyoosha njia za kujipatia kipato kila mtu apambanie kombe kivyake
 
Jitu lingine hili la hovyo kuwai kutokea Africa!!
Unajichukia kwasababu hukupendwa vizuri utotoni na hukuoneshwa pride ya kua hivo ulivo.

Ukalelewa na mtaa na media
Pole……
ndo nyie mnaojichubua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…