Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Uko sahihi.hawakuendelea ila walipokuja huku nakuona vitu tofauti na kwao wakaamua kuvitafiti.
Walipogundua vina faida ndipo wakaja kututawala lakini sisi hadi tuna malighafi nyingi lakini bado hatuvitumii kimaendeleo makubwa.
Pointi ya msingi hapa ni je, kinachosababisha ujinga na uduni wa mtu ni rangi ya ngozi yake ama ni mazingira?
Jibu ni mazingira.
Baraka Obama na Benjamini Carson ni weusi, lakini kutokana na mazingira waliokulia, wanaheshimika duniani kote.