Ukiachana na kuwa Mwafrika, kitu gani kingine unakichukia?

hawakuendelea ila walipokuja huku nakuona vitu tofauti na kwao wakaamua kuvitafiti.

Walipogundua vina faida ndipo wakaja kututawala lakini sisi hadi tuna malighafi nyingi lakini bado hatuvitumii kimaendeleo makubwa.
Uko sahihi.

Pointi ya msingi hapa ni je, kinachosababisha ujinga na uduni wa mtu ni rangi ya ngozi yake ama ni mazingira?

Jibu ni mazingira.

Baraka Obama na Benjamini Carson ni weusi, lakini kutokana na mazingira waliokulia, wanaheshimika duniani kote.
 
Habari za humu wana JF.

Katika kupitia nyuzi mbalimbali humu jukwaani nimegundua watu wengi wamekuwa wakilalamika hususa kuzaliwa afrika na wengine wamefika mbali zaidi na kusema ngozi nyeusi imelaaniwa.

binafsi nakubaliana nao Kwa uafrika nina uchukia ila sio ngozi yeyote nyeusi imelaaniwa.

pia binafsi siamini chama kimoja kuongoza inchi
kwa muda mrefu ndiyo kunafanya maisha yawe magumu kwa sababu kuna taifa kama uingereza liliwahi kuongozwa na malkia kwa muda mrefu lakini uongozi haukukuteteleka na uchumi wao mkubwa had leo,taifa kama brunei sultan wao yupo madarakani tangia 1967 lakini hadi leo maisha mazuri na watu wanakula bata.

Ukiniambia Tanzania lina eneo kubwa na watu wengi ndiyo maana maisha magumu basi wewe huna akiri.

hii ardhi wanaoishi watu weusi inaonekana moja kwa moja kuna kitu hakipo sawa na hakitakuwa sawa kwa sababu ndiyo tulivyoumbwa.

ukiniuliza kitu gani chengine Nacho kichukia ni kuwa hadi leo nipo Tanzania.

sijui wewe mwana JF mwenzangu
CCM
 
Uko sahihi.

Pointi ya msingi hapa ni je, kinachosababisha ujinga na uduni wa mtu ni rangi ya ngozi yake ama ni mazingira?

Jibu ni mazingira.

Baraka Obama na Benjamini Carson ni weusi, lakini kutokana na mazingira waliokulia, wanaheshimika duniani kote.
yeah hata sisi wa huku tukibadilika mbona afrika nitaipenda
 
Matokeo tuliyo nayo ni matokeo ya fikra zetu , ndio maana wenzetu walianza kupiga marufuku kwanza fikra potofu kama za uchawi.
1720421967988.jpg
 
Why i was born in Africa cronic diseases of ignorance..... Waliosoma literature watakikumbuka hii kitabu
 
Habari za humu wana JF,

Katika kupitia nyuzi mbalimbali humu jukwaani nimegundua watu wengi wamekuwa wakilalamika hususa kuzaliwa afrika na wengine wamefika mbali zaidi na kusema ngozi nyeusi imelaaniwa. Binafsi nakubaliana nao Kwa uafrika nina uchukia ila sio ngozi yeyote nyeusi imelaaniwa.

Pia, binafsi siamini chama kimoja kuongoza nchi kwa muda mrefu ndiyo kunafanya maisha yawe magumu kwa sababu kuna taifa kama uingereza liliwahi kuongozwa na malkia kwa muda mrefu lakini uongozi haukukuteteleka na uchumi wao mkubwa had leo,taifa kama brunei Sultan wao yupo madarakani tangia 1967 lakini hadi leo maisha mazuri na watu wanakula bata.

Ukiniambia Tanzania lina eneo kubwa na watu wengi ndiyo maana maisha magumu basi wewe huna akiri.

Hii ardhi wanaoishi watu weusi inaonekana moja kwa moja kuna kitu hakipo sawa na hakitakuwa sawa kwa sababu ndiyo tulivyoumbwa.

Ukiniuliza kitu gani chengine Nacho kichukia ni kuwa hadi leo nipo Tanzania.

Sijui wewe mwana JF mwenzangu.
Hamia ulaya
 
Sijawahi kujichukia kuwa mwafrika, napenda ngozi yangu na lifestyle nayoishi hapa Tanzania

Kinachonikera ni pale napoona uongozi mbovu na kucheleweshwa kwa makusudi kwa maendeleo ambayo yanaweza kupatikana endapo ubadhirifu utakomeshwa na kunyoosha njia za kujipatia kipato kila mtu apambanie kombe kivyake
 
Habari za humu wana JF,

Katika kupitia nyuzi mbalimbali humu jukwaani nimegundua watu wengi wamekuwa wakilalamika hususa kuzaliwa afrika na wengine wamefika mbali zaidi na kusema ngozi nyeusi imelaaniwa. Binafsi nakubaliana nao Kwa uafrika nina uchukia ila sio ngozi yeyote nyeusi imelaaniwa.

Pia, binafsi siamini chama kimoja kuongoza nchi kwa muda mrefu ndiyo kunafanya maisha yawe magumu kwa sababu kuna taifa kama uingereza liliwahi kuongozwa na malkia kwa muda mrefu lakini uongozi haukukuteteleka na uchumi wao mkubwa had leo,taifa kama brunei Sultan wao yupo madarakani tangia 1967 lakini hadi leo maisha mazuri na watu wanakula bata.

Ukiniambia Tanzania lina eneo kubwa na watu wengi ndiyo maana maisha magumu basi wewe huna akiri.

Hii ardhi wanaoishi watu weusi inaonekana moja kwa moja kuna kitu hakipo sawa na hakitakuwa sawa kwa sababu ndiyo tulivyoumbwa.

Ukiniuliza kitu gani chengine Nacho kichukia ni kuwa hadi leo nipo Tanzania.

Sijui wewe mwana JF mwenzangu.
Jitu lingine hili la hovyo kuwai kutokea Africa!!
Unajichukia kwasababu hukupendwa vizuri utotoni na hukuoneshwa pride ya kua hivo ulivo.

Ukalelewa na mtaa na media
Pole……
ndo nyie mnaojichubua
 
Back
Top Bottom