If you have more money, meaning you are rich, unahitaji Akili, hekima na busara nyingi sana ili hizo fedha uzidi kuzizalisha, vinginevyo utamaliza kwenye uchi na anasa kibao na utabakia maskini haswa, si unaona vijana wengi humu unamwambia tayari hela unayo, wanakwambia wanataka Kvma, na hawatanii, ndio ujue akili za kimaskini kabisa, so hela au utajiri na akili za kimaskini hazikai pamoja..!!
Watu wengi utakuta kapata say mil 800 or hata bil 2 au 1 ila within few months or years ahead tayari ni maskini haswa tena, mfano wauza madini, wauza madawa ya kulevya, betting kubwa kubwa, mtu anapata hela ila sbb hana akli wala hekima wala busara jinsi ya kuwa na financial discipline na hajui azalishe vipi zaidi hela zote zinaishia kwenye anasa kama wengi huma wanasema K, ujue kabisa akipata hela atafanya hivyo hivyo, anarudi to square one, if you have poor mind, obvious you will live poor life..!!