Ukiachana na Samsung na LG, ni TV gani nzuri na imara?

Ukiachana na Samsung na LG, ni TV gani nzuri na imara?

TCL ina built in Google TV, pamoja na Sony, Philips, Haier, baadhi ya Hisense etc.
Yes upo sahihi . Google TV is either built in kwenye TV au ipo kwenye streaming device . Kimsingi ni skin ambayo ipo juu ya android OS. Google wametoa streaming device inayoitwa Google TV streamer (4K) kama upgrade kutoka Chromecast streaming device ambayo pia ina Google TV built in.
 
Hisense ni bei affordable na iko vizuri maana kama mpaka Ulaya zimejaa basi waamini maana feki huku ni mgumu kupenya kwenye soko au kama haikidhi standard za EU basi
Chukua hiyo kama uwezo sio mkubwa hivyo
Angalia hii 43 inch kwa laki 8 tu sio mbaya kwa huku nje lakini
Screenshot_20240928_165721_Amazon Shopping~2.png
 
Hapa naomba ufafanuzi chief.

Kupunguza resolution how,na kutoa feature.
Mfano TV nyingi za 43 inch ambazo ni laki 9 mpaka 1M zinakuwa ni 4K na ni smart tv, kwa mtu ambaye ananunua tv kwa ajili ya ya Ving'amuzi kama Azam na Startimes sio lazima tv iwe na 4K ama iwe smart.

So unatafuta TV ya inch 43 ama 40 ambayo sio 4K wala smart hizi unaweza zikuta around laki 5 mpaka 7. So unapata Brand nzuri kama LG huku umespend bei ndogo kuliko za Kichina kwa kusacrifice features.

Mfano hii

Shukran kwa ufafanuzi.

Kiukweli Mimi tangu nianze kutumia hizi flat TV sijawahi kununua smart,sijui smart 4k,8k Wala 16k.

Sababu muda mwingi wife na familia ni watu wa kuangalia Azam tv. Najikuta Sina sababu ya kununua tv Ina features na mbwembwe nyingi alafu Sina matumizi navyo. Hasa nikizingatia Nina PC nikitaka movie au series naiweka kwa flash kwa resolution ya HD kisha naangalia kwenye TV kubwa 55 inches na haiwi pixelated. Ni Full HD!

Home Nina TV inaitwa black stone made in South Korea,normal tv inanipa mwonekano wa 4k nikiangalia mpira na hata movies za Azam tv Iko vizuri sana.

Nilikuwa sahihi tangu mwanzo kwa kuona hakuna ulazima wa Mimi kununua smart tv ila ninunue normal tv yenye kioo na mwonekano mzuri wa picha.

Shukran.
 
SHIDA NI UTUNZAJI

KUNA WATU WANAMKONO WA KULA CHUMA

[emoji3]🤣🤣 kuna kipindi niliibiwa Sonny, nikanunua kubwa yake zaidi nikaivunja wakati nahama, nikanunua nyingine wakaiba dah..
Nikarudi kwenye tv ya sola inches 32, nayo ikaja kujizimia tu [emoji3]

Saizi nina TCL smart tv naona inatoboa mwaka wa pili huu, angalau sasa nashawishika hata nitafute inches 55!

Nb; chukua tcl tv nzuri sana!
 
Back
Top Bottom