Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Evvoli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes upo sahihi . Google TV is either built in kwenye TV au ipo kwenye streaming device . Kimsingi ni skin ambayo ipo juu ya android OS. Google wametoa streaming device inayoitwa Google TV streamer (4K) kama upgrade kutoka Chromecast streaming device ambayo pia ina Google TV built in.TCL ina built in Google TV, pamoja na Sony, Philips, Haier, baadhi ya Hisense etc.
Inch 32 zinapatikana kakaTCL google tv hutojuta[emoji91]
TV ya kisafwa hiyoMkuu ukitaka mseleleko tu kwisha habar yako.
Hii hata Kwa laki unapata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba Aboda ni sawa na Samsung au?
MmmmhGood Vision na yenyewe iko poa
[emoji91][emoji91][emoji91]Hapa ni mwendo wa Samsung, LG na Sony tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kanunue solar max ujionee balaa ile kweli solar max we tv kila mtu inamuonyesha ni mweupe peee imagine hadi mpoki akionyeshwa kwenye solar max ni mzungu
Nina li LG moja liligongwa kioo, kuwacheki lg, wakaniambia laki 7 mwaka 2021/2022 hiyo.Sony wengi hawawezi bei yake mkuu,hiyo lg nayo ni uweke mbali na watoto vioo vyake ni sensitive sana bado Hisense ni best choice.
Haupati ambayo ni 4KInch 32 zinapatikana kaka
Hapa naomba ufafanuzi chief.Pia unaweza ukapunguza Resolution na kutoa feature ya smart kupata tv bora kwa bei rahisi.
Mfano TV nyingi za 43 inch ambazo ni laki 9 mpaka 1M zinakuwa ni 4K na ni smart tv, kwa mtu ambaye ananunua tv kwa ajili ya ya Ving'amuzi kama Azam na Startimes sio lazima tv iwe na 4K ama iwe smart.Hapa naomba ufafanuzi chief.
Kupunguza resolution how,na kutoa feature.
Shukran kwa ufafanuzi.Mfano TV nyingi za 43 inch ambazo ni laki 9 mpaka 1M zinakuwa ni 4K na ni smart tv, kwa mtu ambaye ananunua tv kwa ajili ya ya Ving'amuzi kama Azam na Startimes sio lazima tv iwe na 4K ama iwe smart.
So unatafuta TV ya inch 43 ama 40 ambayo sio 4K wala smart hizi unaweza zikuta around laki 5 mpaka 7. So unapata Brand nzuri kama LG huku umespend bei ndogo kuliko za Kichina kwa kusacrifice features.
Mfano hii
![]()
Pole sana mkuu, hawa watu wausipokuwa makini kila baada ya miaka 2 unanunua Tv.Nina li LG moja liligongwa kioo, kuwacheki lg, wakaniambia laki 7 mwaka 2021/2022 hiyo.
Nimelisusa ndani.
SHIDA NI UTUNZAJI
KUNA WATU WANAMKONO WA KULA CHUMA
Kanunue solar max ujionee balaa ile kweli solar max we tv kila mtu inamuonyesha ni mweupe peee imagine hadi mpoki akionyeshwa kwenye solar max ni mzungu
[emoji91][emoji91][emoji91]