Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

Binafsi am solitary.

I have a small circle and I like to keep to myself.

I do go out and mingle once in a while but sio mtu wamashoga na mashosti.
In real life unafaa kabisa 😆 huwa sipendi mwanamke wa ku cling na mashosti. I always get attracted to independent women..with independent kind of thinking!
 
Kweli maneno ya humu yanatafisiri uhalisia wa watu walivyo!
mkuu itakua haupo serious, mitandaoni karibu kila mtu anamaisha mazuri, ana gari, tajiri na nk.., je haya yote yapo katika uhalisia?
 
Mcha mola.mlokole anayechukia ushirikina
 
In real life unafaa kabisa 😆 huwa sipendi mwanamke wa ku cling na mashosti. I always get attracted to independent women..with independent kind of thinking!
Good.

Tatizo vijana wengi wanakuona unafaa kwa kuwa cougar.

I don't know why I have issues with younger men.

Huwezi kwenda out ukatulia kivyako lazima wajiongeze.😖😖😖
 
Kwanza mtu huwezi kufake miaka nenda rudi, unless wewe ni maarufu na una verified ID.

Hapo utajitahidi kukwepa baadhi ya maneno.

Ila with fake IDs most people are mostly real.
mkuu kufake mtandaoni inawezekana bt kwenye maisha halisi ndo hakuwezekani, mfano hapa mtu anaweza jimwambafy anamiliki usafiri na nyumba nzuri akati kumbe hana lolote.
 
Good.

Tatizo vijana wengi wanakuona unafaa kwa kuwa cougar.

I don't know why I have issues with younger men.

Huwezi kwenda out ukatulia kivyako lazima wajiongeze.😖😖😖
Yawezekana unaenda viwanja vyao.

Revisit your kind-of-places and vacations.

Ukihudhuria After School Bash wakati uko late 30s nadhani huna wa kumlaumu isipokuwa wewe mwenyewe
 
mkuu itakua haupo serious, mitandaoni karibu kila mtu anamaisha mazuri, ana gari, tajiri na nk.., je haya yote yapo katika uhalisia?
Hilo nakataa, tena wanaojitutumua wengi ni maskini wenzangu tu! Unajua kuna ile kuwapa watu kitu ambacho wanataka, watu wengi ni mashabiki wa maisha mazuri n.k.

Hii inafanya watu wengi ku fake life online...ila ikija kwa real life mambo kwa offline yanaweza kuwa so different ohh.🤣🤣🤣

Kuna mwana anakwambia siwezi kuwa maskini kote kote bana...Yani offline niwe maskini na online pia niwe sina jambo? 🤣🤣🤣
 
Yawezekana unaenda viwanja vyao.

Revisit your kind-of-places and vacations.

Ukihudhuria After School Bash wakati uko late 30s nadhani huna wa kumlaumu isipokuwa wewe mwenyewe
I am certain I wouldn't get caught dead at an after school bash.

But I get your point.

What places should I visit in Dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…