Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Vipi umefanikiwa kumakata mwizi wa vyombo katika biashara yako?Mi tabia yangu haina tofauti na ya kimtandao,
Napenda sana papuchi in real life na kuchakata ndio starehe yangu.
Full stop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi umefanikiwa kumakata mwizi wa vyombo katika biashara yako?Mi tabia yangu haina tofauti na ya kimtandao,
Napenda sana papuchi in real life na kuchakata ndio starehe yangu.
Full stop
In real life unafaa kabisa 😆 huwa sipendi mwanamke wa ku cling na mashosti. I always get attracted to independent women..with independent kind of thinking!Binafsi am solitary.
I have a small circle and I like to keep to myself.
I do go out and mingle once in a while but sio mtu wamashoga na mashosti.
mkuu itakua haupo serious, mitandaoni karibu kila mtu anamaisha mazuri, ana gari, tajiri na nk.., je haya yote yapo katika uhalisia?Kweli maneno ya humu yanatafisiri uhalisia wa watu walivyo!
Mcha mola.mlokole anayechukia ushirikinaNatumai hamjambo wanabodi,
Wakuu sio siri mitandao ya kijamii imetupatia tabia mpya ambazo katika uhalisia hatuna, tabia hizi za kimtandao zimetufanya tuwe na mbwembwe, show off, chai na mizaha mingi kupitia post na comment zetu.
Tabia za kimtandao mara nyingi hutumiwa na wahusika katika kuitafuta furaha na faraja ambayo inakosekana katika maisha halisi, tabia hii ya kimtandao inamadhara pia coz kuna baadhi huichukulia kua ndo tabia yako halisi, mfano kuna watu huku wanaweza tukana na kutoa maneno ya shombo bt katika maisha ya halisi hawawezi fanya hivo hata wakiudhiwa.
Mfano kuna huyu mwamba ZERO IQ post zake nyingi huzungumzia uchakataji wa papuchi bt unaeza kuta papuchi hizo hua anazichakata hapa mtandaoni kwa maandishi na katika maisha yake halisi ni mtu wa tofauti sana.
Binafsi ukiachana na tabia za kimtandao ni mtu mpole, mkarimu, sina maneno mengi, inshort katika maisha halisi mi ni mtu wa watu.
Je kwa upande wako ukiachana na tabia za kimtandao we ni mtu wa aina gani?
Good.In real life unafaa kabisa 😆 huwa sipendi mwanamke wa ku cling na mashosti. I always get attracted to independent women..with independent kind of thinking!
mkuu kufake mtandaoni inawezekana bt kwenye maisha halisi ndo hakuwezekani, mfano hapa mtu anaweza jimwambafy anamiliki usafiri na nyumba nzuri akati kumbe hana lolote.Kwanza mtu huwezi kufake miaka nenda rudi, unless wewe ni maarufu na una verified ID.
Hapo utajitahidi kukwepa baadhi ya maneno.
Ila with fake IDs most people are mostly real.
DADEKI..😅Mcha mola.mlokole anayechukia ushirikina
Yawezekana unaenda viwanja vyao.Good.
Tatizo vijana wengi wanakuona unafaa kwa kuwa cougar.
I don't know why I have issues with younger men.
Huwezi kwenda out ukatulia kivyako lazima wajiongeze.😖😖😖
Hilo nakataa, tena wanaojitutumua wengi ni maskini wenzangu tu! Unajua kuna ile kuwapa watu kitu ambacho wanataka, watu wengi ni mashabiki wa maisha mazuri n.k.mkuu itakua haupo serious, mitandaoni karibu kila mtu anamaisha mazuri, ana gari, tajiri na nk.., je haya yote yapo katika uhalisia?
Na fake ID unafake ili upate nini ?mkuu kufake mtandaoni inawezekana bt kwenye maisha halisi ndo hakuwezekani, mfano hapa mtu anaweza jimwambafy anamiliki usafiri na nyumba nzuri akati kumbe hana lolote.
Mh....Hapa umemaanisha nini jamani!??Kinder friendly but mostly I live a pretty solitary life...
Hilo nakataa, tena wanaojitutumua wengi ni maskini wenzangu tu! Unajua kuna ile kuwapa watu kitu ambacho wanataka, watu wengi ni mashabiki wa maisha mazuri n.k.
Hii inafanya watu wengi ku fake life online...ila ikija kwa real life mambo kwa offline yanaweza kuwa so different ohh.
I am certain I wouldn't get caught dead at an after school bash.Yawezekana unaenda viwanja vyao.
Revisit your kind-of-places and vacations.
Ukihudhuria After School Bash wakati uko late 30s nadhani huna wa kumlaumu isipokuwa wewe mwenyewe
MademNa fake ID unafake ili upate nini ?
Nimemaliza niongeze?DADEKI..[emoji28]
ukimaliza kunywa hiyo nyagi uje usome komenti yako uone ulivyo mkweli..[emoji12]
Wewe unajionaje[emoji16]Hvi kwani ukoje[emoji848][emoji848]
Acha usije haribu hali ya hewa..😂Nimemaliza niongeze?
Mimi mwenyewe Mkaa ndani tu.I am certain I wouldn't get caught dead at an after school bash.
But I get your point.
What places should I visit in Dar?