Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

Natumai hamjambo wanabodi,

Wakuu sio siri mitandao ya kijamii imetupatia tabia mpya ambazo katika uhalisia hatuna, tabia hizi za kimtandao zimetufanya tuwe na mbwembwe, show off, chai na mizaha mingi kupitia post na comment zetu.

Tabia za kimtandao mara nyingi hutumiwa na wahusika katika kuitafuta furaha na faraja ambayo inakosekana katika maisha halisi, tabia hii ya kimtandao inamadhara pia coz kuna baadhi huichukulia kua ndo tabia yako halisi, mfano kuna watu huku wanaweza tukana na kutoa maneno ya shombo bt katika maisha ya halisi hawawezi fanya hivo hata wakiudhiwa.

Mfano kuna huyu mwamba ZERO IQ post zake nyingi huzungumzia uchakataji wa papuchi bt unaeza kuta papuchi hizo hua anazichakata hapa mtandaoni kwa maandishi na katika maisha yake halisi ni mtu wa tofauti sana.

Binafsi ukiachana na tabia za kimtandao ni mtu mpole, mkarimu, sina maneno mengi, inshort katika maisha halisi mi ni mtu wa watu.

Je kwa upande wako ukiachana na tabia za kimtandao we ni mtu wa aina gani?
kwahiyo mkuu ww papuchi kiuhalisia huzipendi ila unaziongelea tu mitandaoni
 
kwahiyo mkuu ww papuchi kiuhalisia huzipendi ila unaziongelea tu mitandaoni
ukiwa mwanaume kamili lazima upende papuchi bt mabandiko mengi humu ndani yanayozungumzia uchakataji wa papuchi yamejawa chai mingi.
 
Labda utueleze your reality ili tupime kama it does relates in anyways with who you are hapa jamnvini
Personality zetu si wanasema zina reflect namna ambavyo tunachangia mada humu. But trust me, unaweza ukahisi ni mtu tofauti kabisa ukikutana na mie offline.😆😆😆
 
Personality zetu si wanasema zina reflect namna ambavyo tunachangia mada humu. But trust me, unaweza ukahisi ni mtu tofauti kabisa ukikutana na mie offline.[emoji38][emoji38][emoji38]
Possibly, its not easy to judge in this case

Ila mostly tabia za mtandaoni zina reflect our realities in some extent
 
mkuu nawe kuna mda unawavaaga, kuna battle1 niliwahi kukushuhudia humu ndani hadi nikadata.
Hahaaa hyo battle gani, Ila humu JF Kuna watu wanaanza, kutukana, kukuzalilisha utu wako humu kisa hawakubaliani na nilichoandika so siwezi kuwaacha tu hivi hivi, Mimi Ni mpole Ila mtu kunipanda kichwani au kunizalilisha sipendi kila mtu abaki kwenye lane yake.
Doh Mimi mpole Ila mtu aki cross anga zangu atakoma wallah
 
Back
Top Bottom