Naturally lazima iwe hivyo. Mtu akienda kunywa pombe halafu akaja kukutukana hapo ni kwamba alishapanga kabla ya kulewa kwamba atakutukanaMimi ninavyoishi mitandaoni na uhalisia ndio sawa sawa.
soon anakuja pm maana ndo kazi yake.We kaka unanipaga raha jf acha tu[emoji23][emoji23]
Dah Mimi siwezi ku block nakuchamba hapo hapo mpaka ujute,ku block mtu naona atavimba kichwa, eeeh nakupa taste of ur own medicine wallahmi nikima mv analeta madharau namp4a block mara1
Hebu niambie, wewe ukiambiwa umuelezee khantwe utakuwa na yapi ya kusema?Basi mama isiwe kesi [emoji38][emoji38][emoji38]
kwa mwanamke kuchamba ni kawaida bt kwa wanaume hatuwezagi ndo maana tofali la bloku ndo suluhu yetu.Dah Mimi siwezi ku block nakuchamba hapo hapo mpaka ujute,ku block mtu naona atavimba kichwa, eeeh nakupa taste of ur own medicine wallah
Wanawake kuchamba kazi zetu wallahkwa mwanamke kuchamba ni kawaida bt kwa wanaume hatuwezagi ndo maana tofali la bloku ndo suluhu yetu.
right bt sie hatuwezagi, hata kitaa mshkaji akizingua ukamweleza haeleweki unampotezea na maisha yanaendelea bt nyie hadi mtoe nyongo kwanza.Wanawake kuchamba kazi zetu wallah
Kuchamba ukimaanisha kuzomea au kuosha nanilii?Wanawake kuchamba kazi zetu wallah
😂😂😂😂Tusiojua tabiya zetu tunakomenti wapi
itakua anamaanisha hivoKuchamba ukimaanisha kuzomea au kuosha nanilii?
Hivo vipi? Kuzomea au kuoshaitakua anamaanisha hivo
Anajijua sana but hakuna anaye penda kuonekana kuwa yuko differentmtata balaa ila hajijui [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaaasoon anakuja pm maana ndo kazi yake.
Kasoro ID lakiniBinafsi niko real. Mtandaoni na mtaani ni mtu yule yule.
kamuita mwenyewe mchakata papuch, hivo akimfuata piem asimnyime.Hahaaa
Unafanya utafiti kuhusu maisha ya wanajamiiforum ?Mkuu wengi wanakua na stress pia wanapata ujasiri coz wapo nyuma ya keybord, mfano ukitembelea jukwaa la siasa namna watu wanavowashambulia kwa matusi na kuwatakia wanasiasa unadhani ndo tabia zao halisi?
Jina pia unatumia la kiswahili?Napenda kuongea kiswahili fasaha.
Napenda kuongea jambo likaeleweka.
Sipendi kuchanganya kiswahili na kiingereza ( hata mwingine akichanganya huwa sifurahishwi).
Hawa wanaokoment kwa kiingereza na kiswahili kwenye koment moja nawaona wanafiki.
Nina hasira za haraka.
Nina vumilia kwa kipindi kifupi sana.
Nikikasirika sipendi kusemeshwa.
Sipendi hela yangu ilale nje (Sikopeshi, hata iweje).
Sipendi ukaribu sana na watu. (Sipendi kabisa)