Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

Mimi ninavyoishi mitandaoni na uhalisia ndio sawa sawa.
Naturally lazima iwe hivyo. Mtu akienda kunywa pombe halafu akaja kukutukana hapo ni kwamba alishapanga kabla ya kulewa kwamba atakutukana
 
mi nikima mv analeta madharau namp4a block mara1
Dah Mimi siwezi ku block nakuchamba hapo hapo mpaka ujute,ku block mtu naona atavimba kichwa, eeeh nakupa taste of ur own medicine wallah
 
Dah Mimi siwezi ku block nakuchamba hapo hapo mpaka ujute,ku block mtu naona atavimba kichwa, eeeh nakupa taste of ur own medicine wallah
kwa mwanamke kuchamba ni kawaida bt kwa wanaume hatuwezagi ndo maana tofali la bloku ndo suluhu yetu.
 
Mkuu wengi wanakua na stress pia wanapata ujasiri coz wapo nyuma ya keybord, mfano ukitembelea jukwaa la siasa namna watu wanavowashambulia kwa matusi na kuwatakia wanasiasa unadhani ndo tabia zao halisi?
Unafanya utafiti kuhusu maisha ya wanajamiiforum ?
 
Napenda kuongea kiswahili fasaha.
Napenda kuongea jambo likaeleweka.
Sipendi kuchanganya kiswahili na kiingereza ( hata mwingine akichanganya huwa sifurahishwi).
Hawa wanaokoment kwa kiingereza na kiswahili kwenye koment moja nawaona wanafiki.

Nina hasira za haraka.
Nina vumilia kwa kipindi kifupi sana.
Nikikasirika sipendi kusemeshwa.

Sipendi hela yangu ilale nje (Sikopeshi, hata iweje).

Sipendi ukaribu sana na watu. (Sipendi kabisa)
Sihofii kumpoteza mtu yeyote kwenye maisha yangu.
Sipendi kutengeneza ukaribu na watu wapya. (Sipendi mtu anizoee, kwa sababu yoyote ile)

Sipendi kufanya kitu halafu niishie njiani.
 
Napenda kuongea kiswahili fasaha.
Napenda kuongea jambo likaeleweka.
Sipendi kuchanganya kiswahili na kiingereza ( hata mwingine akichanganya huwa sifurahishwi).
Hawa wanaokoment kwa kiingereza na kiswahili kwenye koment moja nawaona wanafiki.

Nina hasira za haraka.
Nina vumilia kwa kipindi kifupi sana.
Nikikasirika sipendi kusemeshwa.

Sipendi hela yangu ilale nje (Sikopeshi, hata iweje).

Sipendi ukaribu sana na watu. (Sipendi kabisa)
Jina pia unatumia la kiswahili?

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom