Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

Avatar yako inajieleza mkuu,,Mara nyingi unachokifikiria moyoni ndy hutokea,,,
Unapoweka avatar ya aina Fulani basi ndivyo ulivyo mkuu ,,
Ubishi,
Jeuri,
Mwerevu,
Mpambanaji,
Smart,
Mzembe,
Bushoke,
Marioo,
Bwege,,
Pimbi,
Nk....
Hayo yote ninayo mm ? Mkuu nitake radhi ,naona unabahatisha sasa

Unaijua hy avatar vzr ? Sio muigizaji huyo ujue km yako hy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikumaanisha hivyo mkuu,,,nimesema tabia ya mtu wa aina hyo,,kumbuka mm na ww avatar zetu zinafanana tabia,,je mm pia nipo hivyo?
Sijueleza wewe una tabia ipi,, bali numeeleza kwamba avatar ya mtu yeyote inajieleza alivyo kwa tabia hizo,,
Avatar yako ni ya kabila akizungukwa na walinzi wake,,
Kumbuka kabila ni mwanajeshi,,
Na avatar yangu ni ya kijeshi pia,,huyo jamaa anaitwa billy duke,,ni mmoja wa wapambanaji ktk movie ya predetor huoni kama zinafanana tabia?
Ila hizo tabia nilizoeleza hazina uhusiano wowote na wewe au mm Mkuu..
 
Hahaha, bily duke sio mwanajeshi ni aligiza km mwanajeshi

JKK a.k.a Afande ni mjeda jenerali na alikua rais in real life sio huyo muigizaji wako

But nimekuelewa Mkuu ,tuko pamoja
Karibu Congo Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, bily duke sio mwanajeshi ni aligiza km mwanajeshi

JKK a.k.a Afande ni mjeda jenerali na alikua rais in real life sio huyo muigizaji wako

But nimekuelewa Mkuu ,tuko pamoja
Karibu Congo Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu mtu akiangalia hiyo avatar yangu,,,atasema huyo ni mwimbaji au mwanajeshi?
 
With exception of BAK he is totally different person outside JF 😜😜😜
Nje ya Jf upoje? Mimi nikisoma maandishi yako namuona kijana mpole kiasi, hapendi sana kujichanganya, anapenda zaidi kutulia na kujisomea, yuko serious lakini ni rahisi kumzoea kama utamuendea kistaarabu bila papara
 
Back
Top Bottom