Ukiachana na VPN na TOR hii njia pia inaweza kukusaidia ku-access blocked sites au apps kwenye internet kwa kubadili DNS Servers

Nawashukuru wote walionisaidia hasa kwa namna ya pekee kwa Mwl wa Zamu!
 
na vip kuhusu HA TUNNEL PLUS jinsi ya ku acces mserereko wa MB
 
Japo ni uzi wa zamani ila swali endapo kampuni unayoitumikia wamefunga baadhi ya site mfano site za kudownload movie hapa unafanyeje?maana Routers ni zao
 
Kiufupi unapotumia VPN ni kwamba unaiomba computer fln ilioko nchi nyingine ikusaidie kutafuta kitu fln kwenye internet kisha ikikipata inakuletea.


Hapa napenda kujua kiundani zaidi
 
Aise kuna DNS moja siikumbuki ila inablock ads..ukifungua Apps zenye ads ile dns inablock unaijua mkui? Sjui "adblocker.....' kila nikigooglewanaleta nyingine ambazo ukiweka speed inakua kinyonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…