Ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie

Skiza we mpelekee moto ya yule kijana nani yuleee??
 
Izo nyimbo ndo Zita pigilia msumar kabsaa ila
1.killy-Roho
2.macvoice-nenda
3.mo music -simama
4.Timbulo ft Baraka-usisahau
5.kasim mganga-awena
6.Sanakary-Tatizo
7.jaymelody-mbali na wewe
8.Fadha king-Pepea
 
Umefanya vyema kumkumbusha!

Can I .....?

Mie naimba Zuchu Naringa Naringaa... Nasianguuki, Mimi nimechaguliwa...mnavyotuma viniue vinanipa ujasiri vinanifanya niwe kamili gado...


Professor of whaaaaat?
 
Mie naimba Zuchu Naringa Naringaa... Nasianguuki, Mimi nimechaguliwa...mnavyotuma viniue vinanipa ujasiri vinanifanya niwe kamili gado...


Professor of whaaaaat?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huo ndio wimbo 'unaosikilizaga'?

Anyway, naomba ufunguo wa mlango wa waziri mkuu maana, "In our culture......."
 
1.Ex wakunifanya ninywe nilewe mi simuoni,simuoniiiiiii.. Harmonize

2.Mwagilia Moyo... Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…