Ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie

Ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie

inabidi ujue umeachwa kwa sababu gani kwanza
 
Kuna mtu kaachwa anafanya sala kila siku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuachwa huku
 
Mimi mars ft Mwana Fa - Ex Remix.

Poleee sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya mapenzi basiii🎶
Nimeyavulia shatiiii🎶
Kupendwa ni ajiraaa🎶
Na mimi sina vyetiiii🎶
 
Mtoa comment mmoja kasema kuachwa kunafanana na mtu aliyekopa na kisha akamaliza mkopo so iyo kuachwa ni sawa na aliyemaliza mkopo tena ule wa kausha damu.
 
Back
Top Bottom