Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
πππBila kusahau Hanson choice na maji makubwa ππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππBila kusahau Hanson choice na maji makubwa ππππ
Analalamikia tabia ya wazazi siku hizi kuachana hovyo hovyo na kuacha watoto wao wakiteseka. Anaomba wapenzi wavumiliane maana wanapoachana madhara yake ni makubwa, si kwao tu bali hasa kwa watoto wao.Natamani ningeelewa anachokimaanisha
Kuna Ile ya JD sikumbuki jina ila kunaashairi kidogo namkumbuka inaweza kukusaidia "ulisha pata bwana, akagonga akaenda,vukabaki unalia na moyo x2"Hivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
Tayar kimewakaHivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
π€£π€£best naso narudi kijijini