Ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie

Ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie

Kula ngoma kali za Budagala Ng'wanamalonja, Kisima Majabala, Bahati Bugalama, Elizabeth Maliganya au Ng'wanakang'wa na utakuwa sawa baada ya muda 😁
 
Hivi ukiachwa unatakiwa usikilize nyimbo gani ili roho itulie?
Nenda bar inayopiga amapiano kali kali, choma nyama ule mpaka meno ya katae, alafu vuta na mitungi kadhaa mwagilia moyo huku unashukuru kwa kuepushwa mbali na huyo malayer. Ukitoka hapo kafanye kazi kwa bidii watakuja wenyewe

Ila usimpe nafasi tena x. Hata ya kusalimiana nae njiani anatakiwa akuone unaringa
 
Back
Top Bottom