Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Unamfahamu au umechangia tu haraka.Huenda anachukua Afrika kusini. Afrika kusini ni nchi ya Sadc ushuru uko chini na hayo madude bei iko chini huko
Unajua neno "HUENDA"?Unamfahamu au umechangia tu haraka.
Unaona ni kutoka UKUnajua neno "HUENDA"?
wewe ni ukoo wa shetani nilifikiri labda unatambua hata mawazo yangu
Hapo sawaUnaona ni kutoka UKView attachment 2532586View attachment 2532587
33m Range home.Unaona ni kutoka UKView attachment 2532586View attachment 2532587
Naomba hiyo whatsapp link kama unayo chiefKuna group la Bwana Chriss Lukosi, bingwa wa minada na magari.
Huyu jamaa anajitaidi sana kutuweka kama ulaya na magari ya kisasa.
Sasa kwenye magroup kuna marange na madiscover ya UK unakuta gari umenunua milioni 14 na ushuru milioni 18.
Tena unaenda kuchukua kwake wala swala la nini wewe sio lako na range nzuri ya mwaka 2006 na kuendelea. Ila huku japan ni kwa jumla ya pesa uliyonunua ni kama umenunua gari mara mbili.
Bado na jiuliza au gari ikiwa kwenye kontena ushuru unashuka na ikija wazi ushuru unakuwa mkubwa.
[emoji23][emoji23]Unajua neno "HUENDA"?
wewe ni ukoo wa shetani nilifikiri labda unatambua hata mawazo yangu
Anauza matatizo ndiyo maana bei rahisi. Hakuna magari mabovu na ya hovyo kama Range Rover. Watu wanaona ufahari kuonekana wanaendesha madungu yaliyozeeka na kutumika Ulaya lkn wana maumivu makubwa kwenye pochi.
Kajizolea umaarufu kwa kuagiza mikweche ya Land Rover sababu ni chapa ya gari kutoka UK. Toyota uagize kutoka UK badala ya Japan?Sio lazima ununue range hata ukienda kumpa order ya toyota used anakuletea vizuri tu kutoka uingereza huko huko
Kajizolea umaarufu kwa kuagiza mikweche ya Land Rover sababu ni chapa ya gari kutoka UK. Toyota uagize kutoka UK badala ya Japan?
Kwa sababu zipi? Weka ushahidi.Watu wanaagiza VX za UK mara kibao tu