Ukiagiza gari Uingereza bei ni ndogo na ushuru kuliko kuagiza Japan. Hii imekaaje?

Ukiagiza gari Uingereza bei ni ndogo na ushuru kuliko kuagiza Japan. Hii imekaaje?

Anauza matatizo ndiyo maana bei rahisi. Hakuna magari mabovu na ya hovyo kama Range Rover. Watu wanaona ufahari kuonekana wanaendesha madungu yaliyozeeka na kutumika Ulaya lkn wana maumivu makubwa kwenye pochi.
Anauza auction cars nyingi zimegonga lakini haimaanishi ni mbovu, mzungu akichubua tu gari haitaki tena insurance anavuta mpunga hiyo anatupa hawa auction wanaziokota tu hujui nchi kama marekani gari zinatupwa mzee ukiikuta unamiliki na huulizwi? Mtu kanunua gari mpya hana space ya parking analitelekeza gari barabarani wa kuokota aokote, kama anamuda anakuuziwa bei ya nyanya au srepa tu lakini hizi ni bora kuliko hizo japan zenu.
 
Endelea na matusi yako, umekutana na mimi ni Chatbot, wala siyazingatii hayo matusi.
Au ulidhani nita react?
Haya turudi kwenye mada, bado unataka nikujibu swali lako?
Bamdogo huna hoja lakini kwa level ya vijiweni wewe ndiyo konki. Na kama ni ngumi pigana hapo kijiweni
 
Bamdogo huna hoja lakini kwa level ya vijiweni wewe ndiyo konki. Na kama ni ngumi pigana hapo kijiweni
Mimi sina hoja kweli, kwani kuna mahala umenisoma nikijinadi kuwa nina hoja?

nimeshari turudi kwenye mada, Je, bado unataka nikujibu swali lako?
Au umechagua kututukana watu wa vijiweni, hivyo tukuache kwanza umalize matusi yote ndipo turudi kwenye mada?
 
Spea ghali hazipatikani labda Nairobi na mafundi wa gari za UK hakuna waliopo Bei juu thus ma range mengi yamepaki
 
Spea ghali hazipatikani labda Nairobi na mafundi wa gari za UK hakuna waliopo Bei juu thus ma range mengi yamepaki
Labda huna hela garage sasa ni nyingi sana hata kama ni range ya 2023 inatengenezeka. Alafu huo ushamba wa spare bado mnauzungumzia aisee amazon kuna kila spare bwana acha ushamba. Tusiende mbali spare gani ya range sport HSE 2007 utaikosa bongo?
 
Back
Top Bottom