Mkuu nyongeza pia kuna Toyota ni special maalum kwa ajili ya nchi tano tajiri za ghuba uarabuni Saudi Arabia UAE,Quwait, Oman, Qatar na Bahrain GCC specs. Mfano Toyota land cruiser V8 lC300 kuna maalum kwa ajili ya hizo nchi. Pia Nissan patrol. Mfano nissan patrol Nismo.Nimeuliza sababu za hadi mtu aagize VX kutoka UK na siyo Japan. Sababu na ushahidi tafadhali.
Sifaza hizi gari special kwa ajili ya GCC zimetengenezwa maalum kwa ajili ya hali ya hewa ya huko ya joto pamoja na mchangamchanga kustahimili sandstorm. Halafu mfumo wa AC zao ni very strong.