Ukiagiza gari Uingereza bei ni ndogo na ushuru kuliko kuagiza Japan. Hii imekaaje?

Kwa sababu zipi? Weka ushahidi.

IMG_1521.jpg

Hao jamaa huitwa Auto Trader huuza toyota used from UK to global sasa wewe endelea kuiwaza japan uone , dunia ishabadilika jifunze na wako dealers wengi tu wa toyota all over europe,
 
Hiyo Autotrader ni mtandao wa wauza magari hata USA upo. Magari yao yapo bei juu huwezi kulinganisha Toyota ya Autotrader na ya Beforward kwa mfano. Sasa hiyo Toyota ya UK ina faida gani ukilinganisha na ya Japan?
 
Ambazo zina faida gani kubwa haswa?
Nakutolea mfano kwa Africa Toyota wanaleta Toyota Harrier lakin kuna ambayo wametengeneza kwa American standard wanaiita Lexus tofauti uwa ya american inakuwa luxury zaidi na madikodiko mengi ssbabu ya ushindani na watu wa kule wanaangalia luxury zaidi pia ya Africa 4 cylinder na America 6 cylinder
 
Hapo sawa. Na UK hali ni hiyo hiyo?
 
Unajua neno "HUENDA"?

wewe ni ukoo wa shetani nilifikiri labda unatambua hata mawazo yangu
[emoji853][emoji853][emoji853],Jf imeingiliwa na watu wa hovyo kidogo tu umepanic et "wewe ni ukoo wa shetani" kweli [emoji113][emoji113][emoji113]
 
emoji853.png
emoji853.png
emoji853.png
,Jf imeingiliwa na watu wa hovyo kidogo tu umepanic et "wewe ni ukoo wa shetani" kweli
emoji113.png
emoji113.png
emoji113.png
Wewe ndio wa hovyo.

Huyo anajiita ukoo wa shetani mwenyewe, sasa wewe hutaki nimpe haki yake?
Una akili ndogo sana mkuu, hii sijakutukana nimekusifia.
 
Nakutolea mfano kwa Africa Toyota wanaleta Toyota Harrier lakin kuna ambayo wametengeneza kwa American standard wanaiita Lexus tofauti uwa ya american inakuwa luxury zaidi na madikodiko mengi ssbabu ya ushindani na watu wa kule wanaangalia luxury zaidi pia ya Africa 4 cylinder na America 6 cylinder
Soko la magari la Marekani ni tofauti na la UK. Toyota ya UK ni sawa na ya Japan. Gari kwz kiasi kikubwa ni ileile sema wanabadilisha tu majina plus a few cosmetic differences here and there. Lakini spare parts ni hizohizo Lexus au Toyota
 
Hiyo Autotrader ni mtandao wa wauza magari hata USA upo. Magari yao yapo bei juu huwezi kulinganisha Toyota ya Autotrader na ya Beforward kwa mfano. Sasa hiyo Toyota ya UK ina faida gani ukilinganisha na ya Japan?

Ulisema toyota zipo japana tu, nikauelewesha toyota used UK zipo na kuna agency kibao huuza used za toyota kuanzia dubai, USA , UK na hadi afghanstan ukitaka gari used za toyota unapata, sasa ubishi wako ni upi wakati tunakuonesha price margin kati ya japana na UK ni kubwa kwenye used cars, yaani UK na SA wana bei ndogo ya magari used aina zote kuliko Japana sema wabongo wamekariri japan tu
 
Soko la magari la Marekani ni tofauti na la UK. Toyota ya UK ni sawa na ya Japan. Gari kwz kiasi kikubwa ni ileile sema wanabadilisha tu majina plus a few cosmetic differences here and there. Lakini spare parts ni hizohizo Lexus au Toyota

Ona sasa hata haujui hali ya hewa ni kigezo cha utengenezwaji wa magari na utofauti huja hapo
 
Magari yanayo tengenezwa UK lazima UK yatakuwa cheaper kuliko Japan
Na yanayo tengenezwa Japan yatakuwa nafuu Japan kuliko Europe
 
Ona sasa hata haujui hali ya hewa ni kigezo cha utengenezwaji wa magari na utofauti huja hapo
Wee jamaa unaniona mimi mjinga siyo? Nimeanza kuagiza magari kutoka Japan tokea 1996. Na USA nimeishi na UK nimeishi. Usidharau watu. Huna hoja yoyote ya maana wewe zaidi ya kukwepa maswali. Na HUJUI lolote. Nilikuwa na ku test tu. KAA KIMYA!
 
Ulisema toyota zipo japana tu, nikauelewesha toyota used UK zipo na kuna agency kibao huuza used za toyota kuanzia dubai, USA , UK na hadi afghanstan ukitaka gari used za toyota unapata, sasa ubishi wako ni upi wakati tunakuonesha price margin kati ya japana na UK ni kubwa kwenye used cars, yaani UK na SA wana bei ndogo ya magari used aina zote kuliko Japana sema wabongo wamekariri japan tu
Wewe ulikuwa hujazaliwa wkt nasgiza gari kutoka Japan
Ona sasa hata haujui hali ya hewa ni kigezo cha utengenezwaji wa magari na utofauti huja hapo
Huna lolote la kunifundisha. Sana sana nia ilikuwa kuelimisha jukwaa lkn wewe ukachukulia kama ujuwaji. Kamfundishe babu ya kijijini huu ujinga wako. Pumbaav
 
Back
Top Bottom