Mkuu nyongeza pia kuna Toyota ni special maalum kwa ajili ya nchi tano tajiri za ghuba uarabuni Saudi Arabia UAE,Quwait, Oman, Qatar na Bahrain GCC specs. Mfano Toyota land cruiser V8 lC300 kuna maalum kwa ajili ya hizo nchi. Pia Nissan patrol. Mfano nissan patrol Nismo.Nimeuliza sababu za hadi mtu aagize VX kutoka UK na siyo Japan. Sababu na ushahidi tafadhali.
Ni kweli lakini hapo kila mtu na uwezo wake sema kila mtu anunue gari analolimudu matunzo. Wapo babu zetu walio miliki range za miaka ya themanini na mpaka leo zinaendeshwa na wajukuu. Hivyo kila mtu amiliki gari la uwezo wake.Sawa. Lkn nimetoa tahadhari hayo magari hayana ubora HASWA yakianza kuzeeka na yana gharama kufanya matengenezo yakiharibika
Waswahili wakibishana kuhusungari lipi zuri used lililookotwa ulaya ,marekani na JapanWewe ulikuwa hujazaliwa wkt nasgiza gari kutoka Japan
Huna lolote la kunifundisha. Sana sana nia ilikuwa kuelimisha jukwaa lkn wewe ukachukulia kama ujuwaji. Kamfundishe babu ya kijijini huu ujinga wako. Pumbaav
Gari used sio uswahilini tu hata hiyo marekani watu wanauziana gari used kama kawa.Waswahili wakibishana kuhusungari lipi zuri used lililookotwa ulaya ,marekani na Japan
Mjadala umepamba moto.Kweli Tanzania maskini.Hawawezi qengi kununua magati mapya wanategemea yaliyookotwa majalalini ambayo ni used
Msije toana macho humu
Vinakuwaga vibishi balaaNawezakua nabishana na mtu asiemiliki hata baiskeli, unajikuta napiga kelele na kajamba nani asie na mbele wala nyuma
Tupe mbili tatu mkuuAnauza matatizo ndiyo maana bei rahisi. Hakuna magari mabovu na ya hovyo kama Range Rover. Watu wanaona ufahari kuonekana wanaendesha madungu yaliyozeeka na kutumika Ulaya lkn wana maumivu makubwa kwenye pochi.
Dar pekee Sio Tanzania mikoani jeLabda huna hela garage sasa ni nyingi sana hata kama ni range ya 2023 inatengenezeka. Alafu huo ushamba wa spare bado mnauzungumzia aisee amazon kuna kila spare bwana acha ushamba. Tusiende mbali spare gani ya range sport HSE 2007 utaikosa bongo?
Tanzania mikoa ni minne tu dar, dom arusha na mwanza na hii mikoa yote niliyokutajia ina garage za hali ya juu hiyo mikoa mingine ni mashamba tu tuliwahi kupata breakdown singida gari aina ya ford ranger tatizo lilikuwa ni oilpump tu singida nzima spea hakuna tuliifuata dom. Lakini nilihamaki kahama range rover velar na evaque zimetapakaa kila kona hiyo habari ya spea utajua wewe sasa wanapata wapi wachimbaji wale.Dar pekee Sio Tanzania mikoani je
Tanzania mikoa ni minne tu dar, dom arusha na mwanza na hii mikoa yote niliyokutajia ina garage za hali ya juu hiyo mikoa mingine ni mashamba tu tuliwahi kupata breakdown singida gari aina ya ford ranger tatizo lilikuwa ni oilpump tu singida nzima spea hakuna tuliifuata dom. Lakini nilihamaki kahama range rover velar na evaque zimetapakaa kila kona hiyo habari ya spea utajua wewe sasa wanapata wapi wachimbaji wale.
Nenda na fundi Wako kagua gari ukiridhika sepaTupe mbili tatu mkuu
Ubovu wake nini hasa? Tusije kuingia mkenge maana mimi mwenyewe nimeyatamani hayo madungu
Uzuri gari anazouza cris lukosi zina servis record so ni rahis kujua gari ilikuwa na matatizo gani.Tupe mbili tatu mkuu
Ubovu wake nini hasa? Tusije kuingia mkenge maana mimi mwenyewe nimeyatamani hayo madungu
Kahama hamna vitz na passo ist huku ni mwendo wa harrierKahama mpk wana G WAGON BRABUS[emoji91][emoji119]
Tupia links tumuoneNipo kwenye group lake kwakweli bei ni rafiki sana sema ndiyo hivyo hali za kiuchumi haziruhusu
Weka link mkuu tukajionee bidhaa zakeTupia links tumuon
Weka link mkuuNipo kwenye group lake kwakweli bei ni rafiki sana sema ndiyo hivyo hali za kiuchumi haziruhusu
Naongezea hapo mkuu..toyota zinazotumika UK nyingi ni manual transmission lakini toyota zinazotumika SA 90% ni manual transmission hata kama ni corollaMkuu nyongeza pia kuna Toyota ni special maalum kwa ajili ya nchi tano tajiri za ghuba uarabuni Saudi Arabia UAE,Quwait, Oman, Qatar na Bahrain GCC specs. Mfano Toyota land cruiser V8 lC300 kuna maalum kwa ajili ya hizo nchi. Pia Nissan patrol. Mfano nissan patrol Nismo.
Sifaza hizi gari special kwa ajili ya GCC zimetengenezwa maalum kwa ajili ya hali ya hewa ya huko ya joto pamoja na mchangamchanga kustahimili sandstorm. Halafu mfumo wa AC zao ni very strong.
Unakumbuka tulikua nae humu ndani?Chriss yuko vizuri
Ova